SIMBA YAFUATA KIUNGO URENO
BAADA ya kukamilisha usajili wa Wabrazil wawili, mabosi wa Simba wamepanga kushusha kiungo kutoka nchini Ureno atakayekuja kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwenye...
MONDI AMPA MSALA KIBA!
DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa...
MASTAA YANGA WAANZA KUTUA AIRPORT
WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi ya timu hiyo inayotarajiwa...
MASHINE ZINGINE AFCON KUMALIZANA NA YANGA, BOSI ASAFIRI
TARAJIA kuiona Yanga bab kubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, ni baada ya jana jioni bosi mpya wa usajili kupanda ndege na...
KMC WAINGIA ANGA ZA YANGA, ZAMPIGA PINI MIAKA MIWILI AIYEE
NYOTA wa Mwadui FC, Salim Aiyee amejiunga na kikosi cha KMC kwa kandarasi ya miaka miwili.Aiyee amefanya vema msimu wa mwaka 2018/19 ambapo amefunga...
DUH SASA BALAA KUTUA MSIMBAZI, NYOTA WANNE KIKOSI CHA KWANZA KUTIMKA MAZIMA
IMEELEZWA kuwa baada ya kiungo bora ndani ya Simba,James Kotei kutimkia ndani ya kikosi cha Kaizer Chief kwa kandarasi ya miaka mitatu sasa nyota...
MESSI ANA OFA TANO MKONONI KWA SASA
Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa sasa ana ofa kutoka timu tano tofauti ambazo zinaitaka saini yake ili aweze kuzitumikia kwa sasa.Messi ni mchezaji huru baada...
STARS YAENDELEA KUKALIA MKIA KUNDI C AFCON, YACHAPWA 3-2 NA KENYA
Kikosi cha Taifa Stars kimpoteza tena mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika awamu hii dhidi ya Kenya kwa kuchapwa mabao 3-2.Kipigo hiki kimekuwa...
Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39
Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu. Tarehe 27/06/2019 saa 5:06 (Dakika sita ya...
ZANA KUSAINI MIAKA MIWILI SIMBA
Imeelezwa kuwa beki wa klabu ya Simba, Zana Coulibaly yupo katika mazungumzo ya mwisho ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu ya Simba.Taarifa...