BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO
MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu...
MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA
KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo...
Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc
Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse...
KOTEI MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA KWENDA YANGA
Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana...
MANARA AIBUKA NA KALI NYINGINE JUU YA TAIFA STARS – VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27, 2019.
JUUKO AVURUGA HALI YA HEWA KWA VIONGOZI SIMBA
Jumamosi iliyopita inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa akiitumikia timu yake ya...
HII KALI!! KINDOKI ATAKA MILIONI 45 YANGA, SABABU ATAJA
Kumekuwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa klabu ya Yanga huenda ikaachana na kipa wako Mkongomani Klaus Kindoki.Taarifa hizi zimesababisha mwenyewe kuibuka na kudai kiasi...