Juuko siyo aina ya mchezaji wa Simba!
Kuna mengi yanazungumziwa sana kwa sasa baada ya michuano ya Afcon kuanza. Tanzania tunalalamika, Kenya walalamika lakini Uganda wanafurahia.Wako katika mazingira mazuri...
KUMEKUCHA, SIKU SITA TU ZIMEBAKI AJIBU KUMFUATA TSHABALALA SIMBA
LICHA ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku sita kwa ajili ya kuamua hatma...
WALIOMALIZA MIKATABA NA MAJEMBE MENGINE MAPYA HAWA HAPA , NI LISTI KAMILI- VIDEO
YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi). Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana...
PIERRE LIQUID AICHAMBUA KIUFUNDI MECHI STARS VS SENEGAL – VIDEO
SHABIKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Pierre Liquid ambaye aliungana na wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda Misri kuishangilia...
KAHATA NA SIMBA MAMBO YAMEIVA
Inaweza ikawa taarifa nzuri zaidi kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya Simba ambapo taarifa zinasema mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara bado...
YANGA YAONYESHA JEURI YA FEDHA, USAJILI WAKE KUFURU
YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu hiyo. Fungu hilo ambalo...
HILI SASA NI BALAA, MAMA TANASHA AZUIA NDOA YA MONDI NA MWANAYE
Achana na sababu alizowahi kuzitoa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juu ya kuahirisha ndoa yake na Tanasha Donna Oketch, lakini kumbe nyuma ya pazia,...
MRITHI WA SARRI NDANI YA CHELSE, LAMPARD KUTANGAZWA BAADA YA MASAA 48
Frank Lampard anapewa nafasi kubwa ya kurejea kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni meneja ndani ya siku mbili.Mchezaji huyo wa zamani...
MANCHESTER UNITED WAIPIGA CHINI OFA YA NEYMAR
MANCHESTER United wameipiga chini ofa ya kubadilishana mchezaji wao Paul Pogba na timu ya Paris Saint Germain (PSG) kumpata Neymar.Pogba anaonekana ana mpango wa kusepa Old...