MANCHESTER UNITED WATAJA DAU LA POGBA
MANCHESTER United wamekubali kwa sasa mambo yaishe kwa kiungo ,Paul Pogba ambaye ameomba kusepa ndani ya kikosi hicho.United wamenyoosha mikono baada ya kuamua kutangaza...
HATMA YA AJIBU KUTUA SIMBA KUJULIKANA LEO
MENEJA wa Ibrahimu Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa timu atakayojiunga mteja wake itajulikana.Ajibu alikuwa anatakiwa kujiunga na TP Mazembe dili hilo liliyeyuka kwa kile...
HATMA YA AJIBU KUJIUNGA NA SIMBA HII HAPA
MENEJA wa nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa kwa sasa suala la timu atakayojiunga mteja wake Ajibu bado ni pasua kichwa...
NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA
MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.Aiyee akiwa Mwadui FC...
NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH
NYOTA wa timu ya Taifa ya Uganda na timu ya Simba, Juuko Murshid amesema kuwa yupo fiti kumenyana na Misri bila kuhofia uwepo wa...
NINJA APATA DILI ULAYA, ASAINI
WAKATI uongozi wa Klabu ya Yanga ukiendelea kumpigia simu beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ inaelezwa tayari mlinzi huyo ameshasaini mkataba wa miaka...
HUU SASA NI MSALA ZAIDI, NYOTA WAWILI TEGEMEO KUIKOSA ALGERIA JUMATATU – VIDEO
Viungo nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mudathir Yahya na Erasto Nyoni hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mechi...