SIMBA WALIVYOWAKA KAGERA KUBAKI LIGI KUU BARA – VIDEO
Kufuatia Kagera Sugar kusalia kunako Ligi kuu Bara baada ya kuifunga Pamba SC mabao 2-0 kwenye mchezo wa Play Off, mashabiki wa Simba hawajasita...
KUMBE HATA HUYU HAJASAINI BHANA…
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kwamba mchezaji Ibrahim Ajibu hajasaini YANGA, na kwa siku tatu sasa hapokei simu za viongozi wa timu hiyo. Kwa mujibu...
ALIYETAJWA KUTUA YANGA MAMBO YAGEUKA, WASHINDWANA ‘ PESA NDOGO’
Imeelezwa kuwa beki aliyemaliza mkataba na klabu ya KMC, Ally Ally amesema kuwa maslahi ndiyo kikwazo kilichomfanya asisaini mkataba na klabu ya Yanga.Taarifa imeeleza...
TETESI ZA WACHEZAJI KUHAMA KLABU MOJA KWENDA NYINGINE LIGI KUU TANZANIA BARA HIZI HAPA
Hizi hapa ni tetesi za wachezaji kuhama kutoka timu moja kwenda nyingine kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania pia.
SIMBA YAZIDI KUJIBU MAPIGO JANGWANI, KAHATA, SHAMTE NI MUDA WOWOTE, YUPO MMOJA YANGA
WAKATI Yanga ikiendelea kufanya usajili wake, mabosi wa Simba nao tayari wameanza mambo kimyakimya kukisuka upya kikosi chao.Mpaka sasa Simba, inaelezwa kuwa tayari imefanikiwa...
Simba inakimbiza mwizi kimya kimya
Leo klabu ya Simba Sc imetoa picha za John Bocco akisaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Hakuna ubishi mkataba huu ulisainiwa kabla ya...
DJUMA WA SIMBA KUIBUKIA KMC
MASOUD Djuma kipenzi cha mashabiki anapewa nafasi ya kutua bongo akiwa kwenye dawati la ufundi wa timu ya Manispaa ya Kinodoni 'KMC' ambayo kwa...
NYOTA WA MWADUI AIYEE AWAAMBIA YANGA WAPELEKE MKWANJA MREFU
NYOTA wa Mwadui FC, Salum Aiyee amesema kuwa anatazama timu yenye mkwanja mrefu ili asaini kwani ofa alizonazo mkononi kwa sasa ni nyingi.Akizungumza na...
KAZI IMEANZA SIMBA WAJIBU MAPIGO YA YANGA, WAANZA NA BOCCO MIAKA MIWILI
UNAAMBIWA Uongozi wa Simba baada ya kuona watani zao wa jadi Yanga wao wameanza na kiungo fundi Papy Tshishimbi kumuongezea mkataba wao wameanza kujibu...
TUWAACHE MKUDE, AJIBU WAFANYE YAO, TUELEKEZE MACHO CAIRO
NA SALEH ALLYMJADALA umekuwa mkubwa sana kuhusiana na viungo wawili, mmoja ni Ibrahim Ajibu ambaye ameichezea Yanga msimu uliopita na Jonas Mkude wa Simba.Hawa...