MZEE AKILIMALI ATOA TAMKO JUU YA ROSTAM AZIZ, AUNGANA NAYE

0
Mjumbe wa Baraza la Wazee Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali ‘Mzee Akilimali’ ambaye ni Katibu ameunga mkono hoja ya Rostam na kusema Yanga haiwezi kumilikiwa...

YANGA YAZIDI KUFANYA KUFURU, MCHEZAJI MWINGINE MPYA ASAINI MIAKA MITATU – VIDEO

0
Yanga imezidi kuboresha makali ya kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kukamilisha usajili wa mchezaji Mapinduzi Balama kutoka Alliance Schools ya Mwanza kwa mkataba...

KOCHA AMUNIKE AONESHA JEURI DHIDI YA SENEGAL, AWEKA MIPANGO YAKE HADHARANI – VIDEO

0
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike alivyofunguka kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Senegal,...

HUU NDIYO UWEZO HALISI WA KIFAA KIPYA KILICHOTUA YANGA – VIDEO

0
Tazama uwezo wa beki Ally Allu aliyesajiliwa na Yanga kutokea KMC FC na kusaini mkataba wa miaka miwili.

KAMA UNA MTOTO MDOGO…HILI LA DStv LINAKUHUSU…ALADDIN INAKUJIA KWAKO KWA MSELELEKO ULE ULE WA...

0
Jumatano hii mruhusu mwanao afurahie Aladdin kupitia chaneli ya Mambo Moto 140 inayopatikana kuanzia kifurushi cha...

UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA

0
Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa...