LIGI BORA ZOTE DIMBANI LEO, JARIBU BAHATI YAKO NA MERIDIANBET…
Jumamosi ya leo ni nzuri sana ya wewe kuondoka na shangwe ndani ya Meridinabet kwani mechi mbalimbali Duniani leo hii zinapigwa. Ili kupiga pesa...
WAKICHEZA NA DODOMA JIJI LEO…..MASTAA HAWA WA SIMBA HAWATAKUWA UWANJANI…
WAKATI wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa mzunguko wa pili kuna hatihati Simba ikakosa huduma ya beki wao wa...
MASTAA SIMBA KAMA WOTEEE KIKOSI CHA STARS KIKIITWA KAMBINI….YANGA, AZAM MHH….
MACHI 14 2025 orodha ya wachezaji 24, wanaounda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ambacho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa...
SA ITAKUWAJE 🤣🤣….FADLU AINGILIA DILI LA FEI KUTUA SIMBA…ISHU YATUA KWA MO DEWJI…
ACHANA na kile kinachoendelea Msimbazi kwa sasa juu ya Simba kugomea mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliotakiwa kupigwa Jumamosi, Machi 8,...
ISHU YA SIMBA KUGOMEA DABI INAVYOWEZA KUIPA UBINGWA YANGA KILAINI…
NDO hivyo bwana! Kitendo cha Simba 'kugomea' mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga kabla ya Bodi ya Ligi kubariki kwa kuahirisha bila...
CHE MALONE, CAMARA USO KWA USO NA WAARABU….ISHU NZIMA IKO HIVI…
NYOTA wawili wa Simba SC, kipa Moussa Camara na beki Che Malone Fondoh, wanatarajiwa kurejea uwanjani kwa mchezo muhimu wa robo fainali ya Kombe...
PAMOJA NA KUTOONEKANA SANA….IKANGALOMBO APEWA ‘JICHO LA TATU’ YANGA 😁😁….
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud, ameweka wazi kuwa mshambuliaji wao mpya, Jonathan Ikangalombo, yupo katika hali nzuri na anaamini atakuwa msaada mkubwa kwa...
ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA LEO…HAKIKISHA MKEKA WAKO UNASOMA HIVI…
Mechi kibao zinaendelea leo na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya...
ALHAMISI YAKO NI MURUA UKIBETI NA MERIDIANBET…ODDS ZA UHAKIKA HIZI HAPA….
Mechi za Europa League hatua ya mtoani zinaendelea leo ambapo mechi kibao zitakuwa dimbani kuanzia saa 2 usiku kuhakikisha zinapata ushindi ili kusonga hatua...
KILAAINIIII…HIVI NDIVYO KARIA ALIVYOPATA UBOSI MPYA CAF LEO 🥳🥳🥳….
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la...