Trending Stories
View All
JEMBE ASEC IMEBAKI SAA TU, UTAMBULISHO WAKE YANGA KUTIKISA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
WAKATI SHABAN DJUMA AKIENDELEA KUZILA ….CHUMA HIKI HAPA KINATUA TZ KUMRITHI PALE YANGA…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Julai 11) ulitarajiwa kumpokea beki wa kulia wa ASEC…
HIZI HAPA SABABU ZA CAF KUBADILISHA JINA LA MASHINDANO YA SIMBA…
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limebadilisha jina la Michuano yake mapya, lakini Rais, Patrice Motsepe amesisitiza yatakuwa na neema…
HUU HAPA UKWELI WA DILI LA NGOMA NA SIMBA…KWANINI HAJATAMBULSIHWA MPAKA SASA ..?
Imefahamika kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumtambulisha kiungo wao mpya kutoka DR Congo, Fabrice Luamba Ngoma kama mchezaji…
PAMOJA NA KUSEPA ZAKE BONGO….HIVI NDIVYO YANGA INAVYOZIDIA KUMPAISHA NABI KIMATAIFA…
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC ,Nasreddine Nabi ameorodheshwa na Mtandao wa Foot-African.com kwenye orodha ya Makocha waoanowania…
WAKATI SIMBA NA AZAM WAKISHUSHA VIFAA VYAO…ENG HERSI KATIKISHA KICHWA KISHA AKASEMA HAYA…
Wakati vilabu vya Simba, Azam FC na Singida wakiendelea kutangaza sajili zao kila kunapokucha. Hali ni tofauti kwa Klabu ya…
WAKATI SIMBA WAKITAMBA NA BEKI WAO MCAMEROON…YANGA WAMESHUSHA CHUMA HIKI CHA KAZI…
Beki wa timu ya taifa ya Uganda (Uganda Cranes) Gift Fred amejiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga…
KUHUSU SIMBA KUMSAJILI MAYELE….AHMED ALLY KAIBUKA NA JIPYA HILI…AGUSIA KUSEPA KWA BALEKE..
Baada ya taarifa kusambaa za kuondoka kwa Mshambualiaji kinara wa Simba SC, Jean Baleke huku ikisemekana ameachana na Timu hiyo,…
SASA NI KAMA BUREE TU….PATA MPAKA 15,000 KILA UNAWEKA MKEKA WAKO NDANI YA MERIDINABET..
Eeh Bwana eeh Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni ya Selcom wamekuja na bonge la ofa kwa wewe mteja wa Meridian…
NTIBAZONKIZA AFUNGUKA KILICHOMFANYA AENDELEE KUBAKI KATIKA KLABU YA SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya…
IFANYE JUMANNE YAKO YA LEO KUWA SPESHO KWA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET…JARIBU UONE..
Mwaka una jumla ya siku 365 ikiwa ni jumla ya miezi 12, kila mwezi ukiwa na wiki 4 sawa ya…
KOCHA MPYA WA YANGA AWATULIZA MASHABIKI, AZUNGUMZIA MSIMU WAKE NI ZAIDI YA NABI
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewataka Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo kutarajia mazuri zaidi ya msimu uliopita,…
BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA KILICHOMSHAWISHI KUJIUNGA NA KLABU HIYO
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC akitokea Coton Sports ya Cameroon, beki Che Malone Fondoh amefunguka…
KAMA HUJAWAHI KUWEKA MKEKA WAKO KWENYE TENESI….HII NI FURSA YAKO…PESA IKO HUKU AISEE..
Yale mashindano makubwa na maarufu ya mchezo pendwa wa Tenisi yanayojulikana kama Wimbledon hatimaye yameanza kutimua vumbi kuanzia Julai 4…
HIZI OFA TATU ZILIZOPO MEZANI KWA YANGA KWAAJILI YA MAYELE, HII SASA KUFURU
MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara…
SIMBA YAFANYA MAGEUZI NDANI YA WIKI TATU,…. ROBERTINHO ATAMBA
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka…