Tag: Ahmed ally
AHMED ALLY ATAMBA KUHUSU UBINGWA, KUHUSU SOKA BIRIANI AWAPA NENO HILI...
Ahmed Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawataruhusu...
AHMED ALLY : KWA HALI HII INABIDI TUVUKE MAKUNDI KWA NAMNA...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kwa levo waliyofikia itakuwa ni aibu kwao kutofuzu hatua ya makundi hivyo, watafanya...
AHAMED ALLY ATAMBA AWAAMBIA MANENO HAYA MASHABIKI
Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi (kupata alama tatu au kwenye mashindano ni kufuzu hatua inayofuata), kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi...
KOSA LA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA KIGALI……. HILI HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano, Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos, kikosi kinarejea nchini...
AHMED ALLY ASHINDWA KUVUMILIA AITETEA SARE YA SIMBA,AFUNGUKA HAYA
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos jana Septemba 16 nchini Zambia katika Dimba la Levy Mwanawasa.
Meneja wa habari...
KUHUSU HESHIMA YA SIMBA,BENCHI LA UFUNDI LIMEKUJA NA KAULI HII
Benchi la ufundi la Simba SC umetoa maagizo mapya kwa wachezaji wa klabu hiyo wakiongozwa na washambuliaji wao hatari, Luis Miquissone na Jean Baleke...
SIMBA MSIMU HUU HAITAKI KUFUNGWA, VIONGOZI WAJA NA HILI
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, malengo yao msimu huu ni kushinda mechi zote watakazocheza kwenye Ligi Kuu na mashindano mengine, huku wakiweka...
AHMED ALLY AMTABIRIA BALEKE MVUA YA MAGOLI
Akiwa tayari ashapachika wavuni mabao 2 katika michezo miwili ya Ligi aliyocheza Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke.
Tayari wanasimba wameshamuwekea matumaini makubwa wakijinasibu kuwa...
AHMED ALLY ACHAFUKWA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU SIMBA MBOVU
Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema wachezaji na benchi la ufundi wanastahili pongezi kwa kucheza mechi nne ndani ya...
AHMED ALLY AFUNGUKA KUHUSU FUNGULIA MBWA YA YANGA, ALLY KIBA AHUSISHWA
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally ameandika..
"Hadhi na Heshima ya King Ally Kiba sio kuimba...