Tag: AZAM FC
AISHI MANULA, KAPOMBE, BOCCO…WATAKIWA NA AZAM FC
AZAM FC imeanza kuwafuatilia baadhi ya nyota wake kutoka Simba SC, Shomary Kapombe, Aishi Manula, Erasto Nyoni na John Bocco ni baadhi ya wachezaji...
FEI TOTO ATAJA KIKOSI BORA CHA MSIMU…AMTAJA POCOME…CHAMA NJE
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha...
YANGA YAZIPIKU SIMBA, AZAM FC UPIGAJI MASHUTI…YASUBIRI TUZO ZA TFF
KLABU ya Yanga msimu wa 2023/24 umekuwa mzuri sana kwa upande wao baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu, huku ikiweka...
KWA HILI LA FEI TOTO LIPO LA KUJIFUNZA
Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea pale pale alipoishia. Si ajabu amezidi kuwa wa moto zaidi akiwa na jezi ya Azam FC. Kama alivyomtungua Aishi...
AZIZ KI AFUNGA MWAKA KWA AINA YAKE…. AZAM NAO WASEPA NA...
Wamefunga mwaka kibabe! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na timu nzima ya Azam FC, kufunga mwaka...
HAWA AZAM FC TUTAJUANA HUKO HUKO MBELE YA SAFARI
Azam FC kwa sasa ipo moto, lakini hilo halijamshtua Kocha wa JKT Tanzania, Malale Hamsini ambaye kesho Jumatatu timu yake itavaana na vinara hao...
KWA HAYA YANAYOENDELEA AZAM FC MNAPIGA HESABU VEMA LAKINI?
Ukichungulia msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa pale kileleni utawakuta Matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC wakiwa wamepoa na alama zao 25, baada...
AZAM FC WATAWEZA KUTETEA NAFASI YAO
Azam FC ipo moto, KMC wapo vizuri na leo usiku zinakutana kwa mara ya kwanza msimu huu katika mechi ya Ligi Kuu. Timu hizo...
WANAJESHI 6 AZAM FC WAITWA TIMU ZA TAIFA
Wanajeshi sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya...
FEI TOTO HUKU AZAM NI MPYA KABISA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ namba zinambeba. Gazeti hili limefanya uchambuzi licha ya kiungo huyo kucheza dakika chache tangu amejiunga na...