Tag: aziz ki
AZIZ KI AFUNGA MWAKA KWA AINA YAKE…. AZAM NAO WASEPA NA...
Wamefunga mwaka kibabe! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na timu nzima ya Azam FC, kufunga mwaka...
KUMBE AZIZI KI HANA HAJA NA KIATU LIGI KUU…… MWENYEWE AFUNGUKA...
KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii...
SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI...
Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye...
UNAAMBIWA AJIB NI ZAIDI YA AZIZ KI
Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha...
HUO MKATAB WA AZIZ KI NI KUFURU
Kuna uwezekano mkubwa wa Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kumsainisha mkataba mpya kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephane Aziz Ki...
BALEKE ATAMBA KWENYE ANGA ZA WABABE HAWA WA YANGA
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amefunga goli lake la 7 katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC katika mechi dhidi ya Namungo...
AZIZ KI AFUNGUKA WALIPOWASHIKA SIMBA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni wa moto kila idara lakini kwa mujibu wa takwimu mabomu ya timu hiyo kumaliza mechi yapo...
AZIZ KI AWAPA KITETE SIMBA KUELEKEA DABI YA KARAKOO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha...
AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI
Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao...
KUHUSU AZIZI KI KUCHEKA SANA NA NYAVU………ISHU IKO HIVI MWENYEWE AFUNGUKA...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI amesema anaiona timu hiyo ikifunga idadi kubwa ya mabao msimu huu tofauti na msimu uliopita kutokana na...