Tag: championship
CHANONGO AWAONYA MASTAA WENZIE KWENYE ISHU HII
NYOTA wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo amewaonya mastaa wenzake wa kikosi hicho kutobweteka na ushindi walioupata katika michezo miwili mfululizo ya ugenini.
Chanongo alisema kikosi...
CHAMPIONSHIP MUAMUZI AZUA GUMZO…ISHU IKO HIVI
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City...
HAPA NAPO PANAHITAJI AKIBA YA MANENO
Wikiendi hii Ligi ya Championship inaingia katika raundi ya 13 ambapo zitabakia raundi mbili tu ili nusu ya kwanza imalizike na baada ya hapo...
MAMBO NI MOTO CHAMPIONSHIP KOCHA MWINGINE ATUPIWA VIRAGO
Klabu ya @standunitedfc 'Chama la Wana' yenye maskani yake Shinyanga, imemfuta kazi kocha wake mkuu Zulkifri Iddy, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo...
MAJANGA RUVU SHOOTING MBIONI KUPIGWA MNADA…. MASAU BWIRE AFUNGUKA KILA KITU
Klabu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja kutoka Ligi Kuu Bara na msimu ujao itacheza Ligi ya Championship, huku ikidaiwa timu hiyo ipo kwenye mpango...
WAKATI WAKIIBIANA WACHEZAJI AIRPORT…BODI LA LIGI WAJA NA HILI JIPYA KWA...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), imezitaka klabu zote za Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Championship na Daraja la Pili ‘First League’...