Home Tags Feisal salum

Tag: Feisal salum

KWA HILI LA FEI TOTO LIPO LA KUJIFUNZA

0
Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea pale pale alipoishia. Si ajabu amezidi kuwa wa moto zaidi akiwa na jezi ya Azam FC. Kama alivyomtungua Aishi...

KUMEKUCHA FEI TOTO ATAKA KULIANZISHA TENA AZAM, ADAI HANA FURAHA

0
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC ambaye kwa sasa anakipiga Azam FC, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' hana furaha ndani ya klabu ya Azam,...

FEI TOTO AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA HALI YAKE AZAM

0
Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anainjoi kuichezea timu hiyo, lakini akikiri kuna ushindani zaidi kwa msimu huu kwenye Ligi...

MAYELE AFUNGUKA ALICHOMSHAURI FEI TOTO KABLA YA SAKATA LAKE

0
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele, amefunguka kuwa, wakati Feisa Salum alipotaka kuondoka Yanga, alimshauri asiondoke. Hilo limejidhirisha kupitia documentary ya Yanga waliyoizindua hapoa...

FEI TOTO AFUNGUKA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGU ALIPOTIMKA YANGA

0
Kikosi cha Azam FC kinajifua jijini Dar es Salaam huku kikisubiri kusepa kwenda kuweka kambi Tunisia, lakini nyota mpya wa timu hiyo, Feisal Salum...

FEI TOTO AANZA KUKIWASHA NA AZAM FC….HILO BALAA LAKE KWENYE MAZOEZI...

0
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah, rasmi ameanza mazoezi akiwa sambamba na Kikosi cha Azam FC leo Alhamis (Julai 06) katika viunga vya...

BARUA HII YA FEI TOTO YAZUA MAZITO MAPYA…”UONGOZI WA YANGA ULINITESA...

0
Sakata la kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum 'Fei Toto' dhidi ya Yanga limeingia sura nyingine baada ya upande wa mchezaji huyo kuwasilisha...

MANARA AMTAFUTIA TIMU ULAYA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…KULIPWA MIL 300…

0
Sakata la kiungo wa Yanga Feisal salum 'Fei Toto' limezidi kushangaza wengi baada ya kuibuka kwa mzee Sunday Manara ambaye amefunguka kila kitu kuhusu...

FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS...

0
Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum "Fei Toto" wakati amekaa nje...

SABABU ZA FEISAL SALUM “FEI TOTO” KUITWA STARS…”YUPO FIT SANA LICHA...

0
Kocha Msaidizi wa Taifa, Hemed Morocco, ametaja sababu ya kumuita Kiungo Mshambuliaji Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' kwenye timu ya taifa kuwa ni kutokana...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS