Home Tags Gamondi

Tag: gamondi

WACHEZAJI WA YANGA WAMVURUGA GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU

1
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amebadilisha program ya wachezaji wake kwa kuwapa mazoezo ya viungo baada ya jana kufanya Gym ili kujiweka...

KISA HAFIZ KONKANI GAMONDI ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YANGA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo umekuja mara baada ya kulikosa...

SOKA LA GAMONDI LAWAIBUA MABOSI YANGA, ISHU IKO HIVI

0
MABOSI wa Yanga wameumizwa na kitu kimoja tu juzi, kupoteza taji la Ngao ya Jamii ambalo walilishikilia kwa misimu miwili, lakini kuna kauli ya...

GAMONDI AWAANGUKIA MASHABIKI WA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kushindwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya...

GAMONDI ATAMBA, YANGA BADO HAWAJAANZA KUTUMIA MIFUMO YAKE

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya...

GAMONDI AFUNGUKA KILICHOOKOA JAHAZI DHIDI YA AZAM JANA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondia amesema kuwa walistahili kupata ushindi dhidi ya Azam FC kutokana na kikosi chake kuwa bora kwenye kila eneo. Gamondi...

GAMONDI TUMBO JOTO MECHI YA YANGA vs AZAM, AFUNGUKA HAYA

0
Wakati Yanga ikijindaa kuwavaa Azam FC leo Uwanaja wa Mkwakwani Jijini Tanga katika michezo ya mtoano kuwania Ngao ya Jamii. Kocha Mkuu Yanga, Miguel Gamondi...

GAMONDI AMEKUNA KICHWA KUHUSU KONKONI KISHA ASEMA HAYA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amemuangalia mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni na kutamka kwamba, nyota huyo atakuwa tishio msimu wa 2023/24. Konkoni amesajiliwa...

MASTAA YANGA WAANZA KUMCHANGANYA GAMONDI MAPEMAAAA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina, amefichua kuwa, licha ya kucheza michezo ya ndani ya kirafiki, lakini bado hajapata muunganiko mzuri kwa...

SIMBA HII UNATOKAJE KWA MFANO,….. GAMONDI AJIONEA BATO LA MABEKI

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS