Home Tags Gamondi

Tag: gamondi

YANGA HUKO NI KAZI KAZI HAINA KUPOA

0
Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel...

GAMONDI APEWA MAAGIZO HAYA KUHUSU AL MAREKH YA SUDAN

0
UONGOZI wa Yanga ni kama umempa maagizo mazito kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamond baada ya kusema kwa kuwa msimu uliopita walifika fainali...

MAXI NZEGELI YAMKUTA YA MAYELE YANGA

0
Mchambuzi mbobezi wa michezo kutoka EFM, Jemedari Said Kazumari amesema kuwa kiungo wa Klabu ya Yanga, Max Mpia Nzengeli yupo Yanga kwa mkopo akitokea...

KUHUSU YANGA KUJAZA UWANJA RWANDA, WACHAMBUZI WASEMA HAYA

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya yanga wanao uwezo wa...

GAMONDI CAF MAAMUZI HAYA MBONA FRESH

0
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa amefurahishwa na hatua ya mchezo wao wa Raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani...

“WANACHAMA LIPENI ADA TUMALIZE MADENI” – YANGA

0
Baada ya moja ya Mashabiki wa Yanga SC kuhoji kuhusu kesi za madai pamoja na kufungiwa na FIFA kufanya usajili ambazo zimekuwa zikiiandama klabu...

YANGA -TUNATAKA CHANGAMOTO YEYOTE….. ANAETUWEZA AJE…

0
Klabu ya Yanga imesema kuwa wakati huu ambapo ligi imesimama wanataraji kucheza mchezo wa kirafiki siku ya Jumapili lakini jina la timu bado halijawekwa...

GAMONDI AMTAKA STRAIKA MWINGINE, MAMBO BADO SANA

0
Yanga imeanza msimu mpya kwa kasi ikigawa dozi kwenye michuano mbalimbali inayoshiriki, lakini kama unadhani kocha Miguel Gamondi ameridhika na kasi hiyo unakosea, kwani...

KISA AL MAREKH GAMONDI AMPA DOZI MAALUM MAXI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina, ameamua kuwapeleka ufukweni wachezaji wote wa kikosi hicho akiwemo Maxi Nzengeli ikiwa ni maandalizi ya...

GAMONDI,AUCHO WAFUNGUKA MAKALI YA YANGA

0
Wakati Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi akitamba kwa sasa mchezaji yoyote kwenye kikosi chake anaweza kufunga mabao, timu hiyo inaonyesha makali zaidi katika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS