Home Tags Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

KAMWE:- WAARABU TUMEWASOMA…TUMEWAPIGIA MAHESABU MAKALI…WATASHANGAA MPIRA BOLIBO

0
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wametamba kiufumua US Monastir ya Tunisia katika mchezo wa Mzunguko watano wa Kundi D, Kombe la Shirikisho...

SIMBA NA YANGA WAOGELEA BAHARI YA MINOTI…MAMA AWALAMBISHA BUYU LA ASALI…WACHEZAJI...

0
Uongozi wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza moli kubwa kwa wachezaji...

HAWA MADOGO BALAA…UNAMJUA RASHFORD WA AZAM?…HUYU HAPA KINDA HATARI WA YANGA

0
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni 1. CYPRIAN KACHWELE Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri...

KOCHA YANGA… AITWA TAIFA STARS…AOMBWA KUONGEZA NGUVU UFUNDI

0
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya...
NABI AWACHANA WACHEZAJI...HAKUNA KUKWEPESHA JICHO..."SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE

NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE

0
Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga...
MUSONDA NITAIBEBA YANGA MABEGANI...TP MAZEMBE NILIWAONYESHA..."MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA

MUSONDA:- NITAIBEBA YANGA MABEGANI…TP MAZEMBE NILIWAONYESHA…”MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA

0
Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda ameapa kuhakikisha anafunga mabao muhimu yatakayoisaidia timu yake kufanya vizuri dhidi ya US Monastir. Musonda ambaye ni ingizo jipya kwa...
Habari za Simba SC

BALEKE:- HOROYA WAULIZENI, MTIBWA SUGAR….”NITAHAKIKISHA NAPAMBANA…KWA MKAPA PATACHIMBIKA

0
Mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke amesema kuwa mara baada ya kufanikiwa kufunga mabao matatu 'hat trick' katika michezo ya ligi kuu, sasa ni zamu...

CLATOUS CHAMA…MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI…NITAONYESHA VITENDO ZAIDI

0
“Jambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha...

YANGA IMEFUNGIWA USAJILI?…KWA KUFULI GANI!…WANATUFANYIA FIGISU FIGISU

0
Wakati Taarifa zikiibuka mchana wa leo kuwa Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na kutomlipa aliyekuwa Kocha wake Luc Eymel stahiki...

YANGA YAPEWA SIKU 45 NA FIFA…YATAKIWA KULIPA DENI…ITAFUNGIWA USAJILI MISIMU MITATU

0
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS