Home Tags Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

KOCHA NAMUNGO FC…”WACHEZAJI HAWAKUWA KATIKA HALI NZURI…KILA WAKATI WANARUDIA MAKOSA YALE...

0
Baada ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons mwishoni mwa juma lililopita, Kocha Mkuu wa Namungo FC Denis Kitambi, amesema matokeo...

MTIBWA SUGAR KUSITISHA MATUMIZI YA JEZI…WAMUENZI BEKI WAO…ALIYEFARIKI MARCH 5

0
Mtibwa Sugar wamesitisha matumizi ya jezi Namba 4 kwa misimu minne ili kumuenzi Beki wao Iddy Mobby Mfaume ambaye alikuwa anatumia namba hiyo. Iddy Mobby...

MGUNDA SIMBA TUNAUTAKA UBINGWA LIGI KUU…”POINTI TULIZOPITWA NI CHACHE SANA…”HAIJAISHA MPAKA...

0
Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, amesema kuwa timu yao bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kwani...

MASHABIKI WA MBEYA CITY WACHARUKA…”KOCHA ANAZINGUA SANA…TIMU HAINA UWEZO KABISA

0
Baaada ya kuambulia kipigo cha mabao 1-2 nyumbani kutoka kwa Ruvu Shooting, mashabiki wa Mbeya City wamemjia juu kocha wao, Mubiru Abdallah. Mbeya City wamekuwa...

SIMBA VIGEREGERE TU….WAFURAHIA KAPOMBE NA TSHABALALA KUTEMWA STARS…KWA MKAPA HATOKI MTU

0
Uongozi wa Simba SC umekiri kupokea kwa mikono miwili maamuzi ya Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ya kuwaacha Wachezaji Shomari Kapombe na Mohamed...

ALI KAMWE:- LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE…TUNGULI RUKSA…DUA RUKSA…

0
Ali kamwe :"tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia viongozi wa matawi...

SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA…KAPOMBE HANA SPIDI…ZIMBWE JR HANA UMAKINI

0
Kapombe na Zimbwe JR watemwa, Yanga imetoa wachezaji 7 dhidi ya 3 kutoka Simba    Mtazamo: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa? 1: Kapombe ni beki imara...
NABI ATOBOA SIRI KUBWA...MECHI DHIDI YA WAARABU...USHINDI MAPEMA TU!

NABI ATOBOA SIRI KUBWA…MECHI DHIDI YA WAARABU…USHINDI MAPEMA TU!

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa kuna nguvu kubwa kwa wachezaji kupata matokeo mapema jambo linaoongeza nguvu ya kujiamini na kucheza...

SIMBA SC “MECHI NA HOROYA NI USHINDI TU”…HUU HAPA UNDANI WA...

0
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuanza kwa maandalizi ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya...
ALI KAMWE YANGA SC YAWAPIGA MKWARA | WAARABU US MONASTIR | FULL HOUSE FULL SHANGWE WAJE TUMALIZANE

MAPEMAAA…YANGA SC YAWAPIGA MKWARA WAARABU….. “FULL HOUSE..,FULL SHANGWE WAJE TUMALIZANE”…

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia yapo sawa. Kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS