Tag: Habari za Michezo
YANGA YA ENG HERSI NA GSM YAZIDI KUTAKATA CAF….SIMBA MHHHH….!!!
KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023.
Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe...
SKUDU AFUNGUKA HAYA ANASUBIRI UONGOZI TU WA YANGA AFANYE YAKE
Kiungo wa pembeni wa Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ amesema anachosubiri kwa sasa ni makocha wa timu hiyo kumpa nafasi kwenye timu na hiyo siku...
MAADUI WA SIMBA NI HAWA MASWAHIBA WA DAMU KABISA
Rafiki yangu mmoja, kiongozi wa Simba ambaye ana dhamana kubwa ya kuiongoza timu hiyo, msimu uliopita aliendelea kunisisitizia kitu alichokuwa ananiambia mara nyingi. Kwamba...
HIVI NDIVYO BAO 5 ZA YANGA ZINAVYOITESA SIMBA HADI LEO
Klabu ya Simba imewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutulia, ikisema huu si wakati wa kunyoosheana vidole kwa sababu Ligi Kuu bado mbichi...
METACHA AREJEA KIKOSINI YANGA
Kipa namba mbili wa Yanga, Metacha Boniphace Mnata amerejea ndani ya kikosi hicho mara baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu kufuatia tuhuma...
UNAAMBIWA HII NDIO TIMU BORA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI
Yanga kwa sasa inakikosi bora zaidi kwenye ukanda wetu wa Africa Mashariki na kati, kinachovutia zaidi Kocha Gamondi amekutana na kikosi bora sana, Wachezaji...
GAMONDI AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUWAKANDA SIMBA
Ni siku ya furaha sana katika kazi yangu ya ukocha, tumepata ushindi dhidi ya tibu bora .
Wachezaji wangu wamecheza vizuri sana kwa bidii, kujituma...
CAFYAWATILIA UGUMU WAPINZANI WA YANGA
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya...
STAA HUYU WA SIMBA ANAJUTA KUONDOKA YANGA, STORI KAMILI IKO HIVI
Kuna msemo wa kukosea ni wakati wa kwenda sio kurudi. Hii ni kauli inayomlenga Gadiel Michael ambaye amezitumikia timu tatu kubwa za Ligi Kuu...
MANULA KUIKOSA TENA DABI YA KARIAKOO KISA HIKI HAPA
Rasmi Mlinda Lango chaguo la pili wa Simba SC, Ally Salim ndiye atakayekaa langoni katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Young Africans, ukiwa...