Tag: Habari za Michezo
“TUTAKULA SAHANI MOJA NA VIUNGO WA YANGA”…WANANCHI WAPIGWA MKWARA HUU MZITO
Yanga kwa sasa iko kwenye ubora kila eneo ikiwa imeimarika zaidi na hata mastaa wao wapo moto, lakini hilo halijawapa presha wachezaji wa Kagera...
MECHI YA SIMBA NA YANGA MCHEZAJI AFARIKI UWANJANI…TUKIO HILI LINASIKITISHA SANA!
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana...
VITA YA IHEFU NA BALEKE YAKOSA MWAMUZI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos ametumia dakika
nane za mwisho kuifungia Simba SC mabao yote ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC...
YANGA KUSHIRIKI LIGI HII YA WAFALME KWA MBELEKO…TFF YAHUSIKA…ISHU NZIMA A-Z...
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga kwa pamoja zikashiriki mashindano ya Africa Super...
KUELEKEA MECHI NA RIVERS…YANGA YAFANYIWA FIGISU HII…CAF YATUMIKA KUKAMILISHA MPANGO HUO
Klabu ya Rivers United wameomba mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga upigwe katika uwanja wao...
MSHAMBULIAJI LIGI KUU AWEKA WAZI…WANASUBIRIA MIUJIZA ITENDEKE…AMEZUNGUMZA HAYA
MSHAMBULIAJI wa Polisi Tanzania, Ambrose Awio ameweka wazi kikosi hicho kinahitaji miujiza kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao baada ya kupoteza kwa mabao...
SIMBA ACHENI KUMKANDAMIZA MZAMIRU…ALIPWA MSHAHARA MDOGO KULIKO SAWADOGO
Achana zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba...
YANGA YAPIGA MKWANJA HUU MZITO…SIMBA MATE YAWADONDOKA…ISHU NZIMA HII HAPA
HUENDA hujui, ila ukweli ni kwamba hata kabla Ligi Kuu Bara haijafikia tamati, tayari timu za kumaliza kwenye nafasi Nne Bora kwa msimu huu...
KAZE AWACHANA MASTAA YANGA…”HAMNA LOLOTE, HAMJAFANYA CHOCHOTE…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake licha ya kupata ushindi na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu...
BEKI WYDAD CASABLANCA AWAOGOPA SIMBA…AVUNJA UKIMYA…ISHU NZIMA IKO HIVI
WAKATI baadhi ya wadau wa soka nchini wakionesha wasiwasi kwa Simba kupenya mbele ya wapinzani wao, Wydad AC ya Morocco, beki wa zamani wa...