Tag: habari za yanga
YANGA YAONGEZA KIUNGO MWINGINE
YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva.
Mchezaji huyo ambaye ana uwezo...
PIGO KWA YANGA…FARID MUSSA NJE MIEZI MITATU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa.
Ipo wazi Yanga...
HATIMAYE MSUVA AJIPATA ULAYA
MCHEZAJI wa ZamaniΒ wa Yanga na Wydad Casablanca ya Morocco Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko...
DJUMA SHABAN ASEPA ZAKE UFARANSA
BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa...
FREDDY ATEMWA USM ALGER…ARUDI YANGA
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...
WYDAD YARUDI TENA KWA MZIZE NA BIL 2.1
Klabu ya Wydad Casablanca imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, imefahamika.
Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco...
YANGA YAMSAMEHE MCHEZAJI WA SIMBA
USAJILI wa kiungo Yusuph Kagoma ulikuwa na sintofahamu mwanzoni, kabla ya kutambulishwa rasmi na Simba kama mchezaji wao halali.
Awali kulikuwa na Taarifa za kwamba...
TP MAZEMBE YAMUOMBA STRAIKA WA YANGA
Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameiomba klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi wawaazime mshambuliaji wao mpya, Sabinah Tom.
Klabu...
TAIFA STARS YAAPA KUKIWASHA GUINEA…KUUFUZU AFCON
BAADA ya juzi kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) 2025 dhidi ya Ethiopia, wachezaji wa timu...
SIMBA, YANGA, JKT QUEENS KUCHUANA NGAO YA JAMII
MASHINDANO ya kuwania Ngao ya Jamii kwa Wanawake yamepangwa kufanyika kuanzia Septemba 24 hadi 27, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es...