Tag: habari za yanga
YANGA KUSAJILI WAWILI…KISA ROBO FAINALI CAF
Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, amesema wanatarajia kusajili nyota wapya wawili katika dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa baadaye mwaka huu.
Hersi alisema...
YANGA YAJIAPIZA KUNOGESHA UZINDUZI WA CAF.
YANGA Imejipanga kushinda ushindi mkubwa zaidi kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Vital 'O katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Mlinda mlango wa klabu hiyo...
KUHUSU INSHU YA MZIZE…ALLY KAMWE ATULIZA PRESHA
BAADA ya Klabu ya Wydad Casablanca kutuma ofa yao ya pili kwenda Yanga ili kumsajili Mshambuliaji wao Clement Mzize, jambo hilo linaonekana kuwa gumu...
YANGA YAWEKA REKODI NYINGINE CAF
KLABU ya Yanga imeweka rekodi nyingine Afrika, kwa kuwa klabu ya kwanza kuandaa mkutano wa waandishi wa habari klabuni kwao.
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka...
REKODI ZA GAMONDI YANGA…HANA MPINZANI
Mashabiki wa Yanga wameiona timu yao katika mechi tatu zilizopita za kimashidano tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024-2025 ambazo zote wameshinda wakianza na...
NABI AITABIRIA YANGA KUFIKA NUSU FAINALI
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya raundi za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya VitalβO ya...
AZIZ KI, MZIZE WANAHITAJIKA ZAIDI WYDAD…ENG HERSI AFUNGUKA
Klabu ya Wydad Casablanca imeongeza ofa kubwa zaidi ya $200K zaidi ya Tsh milioni 541, kwenda Yanga ili kumpata Clement Mzize kwa msimu 2025/26...
KWA STAILI HII…YANGA INAZINGUA
Yapo mambo ambayo Yanga haipaswi kuyafanya hivi sasa kutokana na daraja ambalo ipo katika soka hapa nchini na Afrika kijumla.
Miongoni mwa hayo ni hili...
ENG, HERSI…KUNA WATU WALIMSHAWISHI MZIZE ASEPE YANGA
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa watu baadhi ya viongozi wa soka wanaoheshimika walitaka kumshawishi mshambuliaji wao Clement Mzize ili...
HAJI MANARA AONDOSHWA YANGA…ALI KAMWE NI BOSI
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said amesema Ally Kamwe ndiye Afisa Habari wa Yanga SC, na Haji Manara ni mwanachama ambaye anatafutiwa nafasi...