Tag: habari za yanga
YANGA YAFANYA BALAA…6 SIMBA MMOJA TU
YANGA BABA LAO. HATIMAYE usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 umegota mwisho na kila kitu kuwa wazi nani amekuwa...
AZIZ KI KINARA WA TUZO…BALAA LAKE USIPIME
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24.
Aziz...
IBRAHIM BACCA ATWAA TUZO YA BEKI BORA.
Beki wa katiΒ wa Yanga SC na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC...
DJIGUI DIARRA ATWAA TUZO KIPA BORA
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP).
Diarra amewashinda Khomein Abubakar...
SKUDU AJIPATA YANGA YA GAMONDI
Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela βSkuduβ, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini.
βKwa ushindani uliopo nimegundua kuwa...
STEPHEN AZIZ KI TAYARI ANA TUZO MKONONI
STEPHEN Aziz Ki katika msimu wa 2023/24 alifunga jumla ya mabao 21 katika Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja akiwa na tuzo yake mkononi...
KILICHOMKOSESHA AUCHO TUZO…UGOMVI WATAJWA
Shirikisho la soka Tanzania TFF limetoa orodha ya wanaowania tuzo za msimu wa 2023/24, zitakazotolewa Usiku wa Leo Agosti Mosi kwenye ukumbi wa The...
CLEMENT MZIZE AWAJIBU WANAOMPONDA…NAUMIA KUKOSA NAFASI
BAADA ya Maneno kuwa mengi sana Mtandaoni kuhusu Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize kutotumia nafasi anazopata. Mchezaji huyo amefunguka kwa kuwanyamazisha mashabiki.
Mzize amekuwepo Yanga...
MIGUEL GAMONDI KUHUSU COMBO YA DUBE, MZIZE
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ni mapema, lakini amefurahishwa na pacha iliyotengenezwa na Prince Dube wakishirikiana na Clement Mzize akiwataja kuwa wanamuofa...
KWA MAXI NZENGELI…YANGA YAHISI MCHONGO.
BAADA ya Maxi Nzengeli kukiwasha sana Sauzi Mabosi wa Yanga wameshtukia jambo na kumuita mezani kuanza mazungumzo mapya ya mkataba mpya.
Nzengeli atakapoanza msimu ujao...