Tag: hersi
HUKO SIO POA UNAAMBIWA NI KWA VITENDO SASA
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu...
UONGOZI YANGA WAKAA KIKAO AJENDA KUU NI UBINGWA TU
Oktoba 25 Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said imekaa kikao cha pili cha kikatiba kwa mwaka 2023 kujadili mambo...
RAIS WA YANGA KUTOKA JANGWANI MPAKA KILELE CHA KILIMANJARO
Rais wa Yanga SC, Hersi Said ni miongoni mwa viongozi waliofanikiwa kufika katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro, Jijini Arusha.
Rais huyo aliyeko mapumzikoni hivi...
RAIS WA YANGA AWATEMBELEA VIGOGO HAWA WA JANGWANI
Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na...
INJIANIA HERSI AFUNGUKA YAJAYO ATAJA KUKOSA NGAO YA JAMII
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo nguvu kubwa inawekezwa kwenye...
RAISI WA YANGA AFUNGUKA HAYA KUHUSU USAJILI WA MSIMU HUU
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa watafanya usajili mdogo msimu huu kwa ajili tu ya kuboresha kikosi chao kuelekea msimu...