Tag: inonga
CHE MALONE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU BIFU LAKE NA INONGA
Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Che Fondoh Malone Junior raia wa Cameroon amekiri kuwa wana mapungufu katika safu yao ya ulinzi ndiyo maana...
SIMBA WAPATA SULUHISHO BAADA YA HOFU YA KUMKOSA INONGA….. ISHU IKO...
Simba iko mawindoni ikijiandaa na mchezo wa African Footbal League dhidi ya Al Ahly ya Misri, lakini hofu kubwa ni uwezekano wa kumkosa beki...
ROBERTINHO AONA ISIWE TABU AONGEZA BEKI MWINGINE
Kocha mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya timu yake kuwa na uwezo wa kufunga kila mechi, bado kuna tatizo la...
INONGA MAYELE NDANI YA JAHAZI MOJA CONGO
Licha ya kuendelea kuuguza majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union, Septemba 21 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,...
UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI
Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika.
Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal...
ISHU YA MAJERAHA YA INONGA IKO HIVI
HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89.
Nyota huyo...
INONGA ALISTAHILI JAMBO HILI
Henock Inonga Baka anaweza kuwa mchezaji ambae alihitaji zaidi mafanikio ya pamoja pale Simba hasa kwa namna ambavyo amekuwa akisifika kwenye nafasi yake dhidi...
SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI
Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja...