YANGA HAKUNA KUPOA WATINGA KAMBINI KUWAWINDA SIMBA
Kikosi cha Yanga SC, kesho Jumatatu, Oktoba 30, 2023 jioni kinatarajiwa kuanza mazoezi kuelekea Dabi ya Kariakoo. Mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC ambao…
Kikosi cha Yanga SC, kesho Jumatatu, Oktoba 30, 2023 jioni kinatarajiwa kuanza mazoezi kuelekea Dabi ya Kariakoo. Mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC ambao…
KikosiĀ rasmi cha YANGA kitakachocheza dhidi Azam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Mkapa, muda mchache ujao.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC. Yanga wanaingia katika…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga leo inaanza kampeni ya kutetea taji hilo dhidi KMC. Mchezo huo pekee wa ligi hiyo…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amesema anafurahia aina ya uchezaji wa beki wa kati wa timu hiyo, Dickson Job, huku akimuhakikishia nafasi kubwa…