Hamisi Athuman: Ushindani Azam FC, Manula na Ndoto Zake za Kimataifa
BAADA ya msimu mmoja wa kuitumikia KMC kwa mkopo, mlinda mlango Hamisi Athuman amerejea rasmi kwenye klabu ya Azam FC, akiwa na kiu ya kutumia…
BAADA ya msimu mmoja wa kuitumikia KMC kwa mkopo, mlinda mlango Hamisi Athuman amerejea rasmi kwenye klabu ya Azam FC, akiwa na kiu ya kutumia…
SIMBA SC leo imeondoka nchini kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi ya siku 10, huku macho na masikio ya mashabiki yakielekezwa kwenye…
KARIAKOO DABI haijengwi siku ya mechi! Hivyo ndivyo anavyosisitiza mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Meddie Kagere ‘MK14’, huku akiipa thamani kubwa kambi ya Wekundu…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ametumia mapumziko ya kalenda ya FIFA kuanza mchakato mzito wa kukinoa na kukijenga upya kikosi chake, huku akiweka…
Kiungo mpya wa Simba SC, Ibraheem Jabaar, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto kubwa aliyokutana nayo tangu atue Tanzania, akitaja kadi nyekundu aliyoipata dhidi…
Beki wa zamani wa Mamelodi Sundowns na timu ya taifa ya Afrika Kusini, Rushine De Reuck, amefunguka mazito kuhusu maisha yake mapya ndani ya Simba…
Klabu ya Yanga SC imetamba kwa ubora wa kikosi chake baada ya wachezaji 15 kutoka kikosi cha kwanza kuitwa kwenye vikosi mbalimbali vya timu za…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wameanza msimu huu kwa kishindo kikubwa baada ya kuonyesha kiwango cha juu kinachoendana na takwimu za…
Azam FC ina muda wa kusahihisha maeneo muhimu baada ya mchezo wa Simba huku mashindano ya CAF yakikaribia; uchambuzi wa changamoto za Ibenge.
Bacca na Mudathir wamekuwa sehemu ya mipango ya Yanga licha ya ushindani wa usajili; mchango wao unaangaliwa kabla ya Dabi ya Kariakoo.