Tag: mashabiki
GAMONDI PRESHA TUPU, BAADA YA WABONGO KUMGEUZIA KIBAO YANGA
Nilitegemea siku moja kocha wa mpira, Miguel Gamondi atafahamu vizuri tabia ya mashabiki na watu wa mpira hapa Bongo baada ya mwanzo wake mtamu...
MASHABIKI WAYDAD WAFUATA NYAYO ZA SIMBA WAMEKIWASHA HUKO HATARI
Mashabiki wa Klab ya Wydad Club ya Morocco wameanza kampeni za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wao wa sasa Said Naciri, hii ni baada ya klabu...
UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze...
AHMED ALLY AWATULIZA MASHABIKI WA SIMBA
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu ya Simba SC, imebanwa mbavu nyumbani kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na Asec...
MASHABIKI WA SIMBA NA MSONGO WA KUKOSA MATOKEO MAZURI, WAISUSA SIMBA...
Msongo wa kukosa matokeo mazuri bado inaonekana kuwakumba mashabiki wa Simba baada ya kuibuka kwa idadi ndogo kuipa nguvu timu yao.
Simba itashuka Uwanja wa...
MASHABIKI WA SIMBA KINDAKINDAKI WAKOMAA NA WACHEZAJI HAWA
Mashabiki kindaki ndaki wa Klabu ya Simba, Pasi Milioni na Kisugu wameutaka uongozi wa timu hiyo kufanya maamuzi magumu kwa kuwafukuza wachezaji wasiojituma ambao...
HUU NDIO WAKATI WA MASHABIKI WA SIMBA KUFNYA MAMUZI MAGUMU
Hakuna ubishi, huu ndio wakati mashabiki wa Simba wanapaswa kuonyesha ukomavu wao baada ya mambo kwenda mlama.
Kipigo cha bao 5-1 ambacho walikipata kutoka kwa...
AHAMED ALLY ATAMBA AWAAMBIA MANENO HAYA MASHABIKI
Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi (kupata alama tatu au kwenye mashindano ni kufuzu hatua inayofuata), kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi...
KUHUSU ISHU YA MASHABIKI KUSHINDWA KUANGALIA MECHI RWANDA, UONGOZI WA YANGA...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema, mashabiki wote watakaosafiri na mabasi kwenda Rwanda kwa ajili yua mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi...
GAMONDI ACHOSHWA NA MAPUMZIKO HAYA YANGA, AFUNGUKA KILA KITU
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba...