Tag: pacome
KAMA UTANI ILA NDIO IVO ZIDANE WA BONGO KATEMWA HUKO
Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua "zidane wa Bongo" ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of...
PACOME ,SANKARA USO KWA USO CAFCL
Pacome Zouzoua ameendelea kuongeza akaunti ya mabao kwa kufikisha matatu nyuma ya Sankara Karamoko wa Asec Mimosas mwenye mabao manne, kwenye michuano ya Ligi...
YANGA NA PACOME MPAKA AFCON
Nyota wa Yanga, Pacome Peodoh Zouzoua amejumuishwa kwenye kikosi cha awali cha wachezaji 53 wa Ivory Coast 'The Elephant' kitakachoingia kambini kuipambania bendera ya...
SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki.
Kiungo mshambuliaji wa...
JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU
Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
WAARABU WAPANIA KUVURUGA YANGA……. SASA WATUA KWA MAXI, PACOME
Klabu ya Zamalek itatuma maafisa wake nchini Algeria katika mchezo wa CR Belouizdad dhidi ya Yanga kwa ajili ya kuwafuatilia kwa karibu Pacome Zouzoua...
KUMBE PACOME HAMNA KITU
Wakati Wananchi wakifunga wiki iliyopita kwa kishindo cha pekee baada ya kufanikiwa kuitandika Simba mabao 5-1 katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
Kiungo wa Yanga...
JUKUMU LA KUIDONDOSHA SIMBA WAPEWA MASTAA HAWA YANGA
Yanga haipoi. Baada ya juzi Ijumaa kuichapa Singida Big Stars mabao 2-0 na kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, jana imekimbia haraka...
GAMONDI APATA WASIWASI, PACOME, MAXI WAZUO HOFU, ISHU IKO HIVI
MIGUEL Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga, ameibuka na kusema kuwa, mapumziko ya muda mrefu huenda yakamfanya kuanza upya kukisuka na kuwaongezea fitinesi...
PACOME, AZIZI KI, WAFANYA BALAA KUBWA YANGA
Mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea baada ya kushuhudia timu hiyo ikianza Ligi Kuu kwa kishindo ikiifumua KMC mabao 5-0, lakini sifa zikienda eneo la...