Tag: Simba SC
SIMBA YATANGAZA VITA BAADA YA KUICHAPA PRISONS…FADLU AHUSIKA NA MCHONGO
KLABU ya Simba SC wakiwa uwanja wa Sokoine Mbeya wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu...
TFF YAIPA SIMBA NA YANGA MAELEKEZO HAYA
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia, amezitaka timu za Ligi Kuu zenye wachezaji walio chini ya miaka 20 na...
TAKWIMU ZA MISIMU 5…SIMBA NA YANGA HEAD 2 HEAD
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani.
Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani...
ASALALEKI… GAMONDI NA FADLU PRESHA YA DABI YAWAINGIA.
KARIAKOO DABI Imeanza kunoga, zikiwa zimesalia siku chache tu kupigwa kwa mchezo unaovuta hisia kali za mashabiki wa soka nchi na Afrika na duniani...
HIVI NDIVYO ALI KAMWE NA AHMED ALLY WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA DABI YA...
Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa...
MSHERY NA ALLY SALIM WANATEGEMEWA NA TAIFA.
WALINDA Mlango wa Simba na Yanga Ally Salim Katolo na mwenzake AbdulTwalib Mshery wanategemewa sana na taifa, lakini nafasi zao za kucheza kwenye vilabu...
SIMBA KUANZISHA CHANELI YAO YA KIARABU NA KIFARANSA
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu amesema kwakuwa klabu hiyo inasafiri na kushiriki michuano mikubwa Afrika, wanatarajia kuanzisha chaneli mtandaoni.
Kwa lugha ya kiarabu na...
NYIE MNAIDHARAU YANGA KWAKUWA IPO KARIAKOO TU
MCHAMBUZI na Mwanachama wa Yanga Dominic Salamba amewamwagia maua yao Wananchi kwa kuwa na timu bora Afrika.
Salamba ameipatia sifa Yanga kutokana na kufanya makubwa...
FADLU ANATENGENEZA UFALME WAKE SIMBA
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450.
Katika mechi...
SIMBA NA WAARABU KWANI KUNA UGOMVI?
Klabu ya Simba imejikuta ikiangukia kwenye mikono ya waarabu kwa mara nyingine tena, na safari hii timu zote alizopangwa nazo zinatoka nchi za magharibi...