Tag: Simba SC
KAPOMBE NA CHAMA WAZAMISHA JAHAZI LA SIMBA…WYDAD WASONGA MBELE
Dakika 90 zimemalizika katika dimba la Mohamed V nchini Morocco kati ya Wydad AC dhidi ya miamba ya soka Tanzania, Simba SC huku Wydad...
WAKALA WA BALEKE AFICHUA KILA KITU…”SIDHANI KAMA ATABAKI SIMBA…ISHU NZIMA IKO...
Wakala wa Jean Baleke athibitisha kuwa; hafikirii mchezaji huyo atabaki Simba SC zaidi ya mkataba wake wa mkopo.
Alisema: "Sidhani kama atabaki Simba. Aidha TP...
WYDAD WAJIPANGA KUISHAMBULIA SIMBA KWA KASI…KOCHA ACHEZE NA PLAN B
Dakika 90 zitaamua safari ya Simba Ligi ya Mabingwa msimu huu, aidha inasonga ama inarudi nyumbani kujipanga kwa msimu ujao.
Wengi tunatarajia kumuona Simba akifuzu...
TATIZO WABONGO TUNADHARAU SOKA LETU…SIMBA NA YANGA NI TISHIO KUBWA CAF
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga...
KOCHA MORROCO AFICHUA MBINU ZA WYDAD…AWAPA MBINU HIZI SIMBA
Kocha wa Walinda Lango wa Simba SC Chlouha Zakaria ametumia muda mwingi kuucheza mchezo dhidi ya Wydad AC, ambao
utaunguruma kesho ljumaa (Aprili 28), katika...
KOCHA SIMBA AVUNJA UKIMYA…CHAMA,BALEKE NA TSHABALALA WATAJWA…AFUNGUKA HAYA
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saidi Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote unampa...
KOCHA SIMBA AWASOMA WYDAD AC…AWAINGIZA KWENYE MTEGO HUU HATARI
Kocha Mkuu wa Simba SC, Robert Oliviera 'Robertinho' amesema atapangua kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali Ligi...
HATIMAYE SIMBA…YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA…ATOBOA SIRI NZITO
Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea...
TANZIA:KOCHA APATA AJALI YA GARI…AFARIKI DUNIA…KUZIKWA LEO
Mwili wa Francis John, aliyekuwa kocha wa mwanariadha, Alphonce Simbu, utazikwa leo Aprili 26 nyumbani kwake jijini Arusha.
Francis alifariki jioni ya Jumamosi iliyopita kwa...
TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE…”WATAFANYA MAKUBWA CAF…AMEZUNGUMZA HAYA
Nyota Simba SC Jean Baleke na Fiston Mayele anayekipiga Young Africans, wamepewa nafasi kubwa ya kuzibeba timu zao kufanya vizuri katika michezo wa Mkondo...