Tag: soka
YAYA AJA NA UTABIRI HUU USHINDI AFCON
Kiungo wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya Touré atoa utabiri wake wa Timu za Taifa zenye nafasi ya kushinda kombe la Mataifa...
KAMA UTANI ILA NDIO IVO ZIDANE WA BONGO KATEMWA HUKO
Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua "zidane wa Bongo" ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of...
SIMBA, YANGA WATULIZA VICHWA KIMATAIFA…… ISHU HII NDIO UMIZA KICHWA
Mabosi wa klabu kongwe nchini, Simba na Yanga wanaendelea kukuna vichwa juu ya kuchagua viwanja gani vya kutumika kwenye mechi zao za mwisho za...
SERIKALI YAPIGA KWENYE MSHONO UWANJA WA UHURU
Serikali imevifunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru, Dar es salaam mpaka hapo ukarabati utakapokamilika Oktoba 2024.
Taarifa ya serikali imekuja baada ya Shirikisho la...
KLABU BINGWA ZA DUNIA MPINZANI WA YANGA AIBUKIA NAFASI YA TATU
Wapinzani wa Yanga kundi D kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, imemaliza nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Kombe...
YANGA WAMUIBUA KOCHA TABORA UNITED….. JAMBO LAFIKA TFF ISHU NZIMA IKO...
Kocha Mkuu wa Tabora United, Mserbia Goran Kopunovic amelalamikia kutopewa nafasi ya kuchezea uwanja wa nyumbani licha ya viongozi wa timu hiyo kutengeneza uwanja...
MAMBO HADHRANI HIKI NDIO KILICHOMPONZA CHAMA
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama na mwenzake Nassor Kapama wamesimamishwa na uongozi wa timu hiyo kwa sababu za utovu wa nidhamu, kwa...
YANGA KUKIPIGA DODOMA DHIDI YA TABORA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imefanya mabadiliko ya uwanja wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Yanga...
GAMONDI AWAPA NENO MASHABIKI KUELEKEA MCHEZO WA MADEAMA LEO
Kuelekea mchezo wa leo Jumatano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya timu ya Yanga SC dhidi ya Medeama, kocha mkuu wa kikosi cha...
YANGA PRINCESS SASA WATUA KENYA KWA JAMBO HILI
BAADA ya kumaliza mshindi wa tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa wanawake iliyofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi na Simba Queens kuibuka...