Tag: soka la bongo
YANGA NAO WAJIPANGA HIVI DHIDI YA MADEAMA
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana.
Huo ni...
BENCHIKHA AFUNGUKA JINSI WATAKAVYOCHUKUA POINTI TATU MBELE YA WYDAD
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema anafahamu mchezo wa leo dhidi ya Wydad AC itakuwa ngumu lakini ataingia kwa umakini mkubwa.
Amesema, mchezo...
YANGA NA MCHONGO HUU LIGI YA MABINGWA
Hakuna namna, lazima kushinda na tusifungwe, ni kauli za makocha na wachezaji wa zamani wakiueleza mchezo wa kesho wa Simba na Wydad na ule...
HAWATOKI…… BENCHIKHA WALA HANA PRESHA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
YANGA IWE JUA IWE MVUA MPAKA KIELEWEKE NA STRAIKA HUYU WA...
Kikosi cha Yanga kimerudi mazoezini kujiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana utakaopigwa keshokutwa, Jumatano, ikitoka kuiliza Mtibwa...
MAMBO HADHARANI ISHU YA YANGA KUFANYA KIINGILIO BURE
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka EA Radio, Ibra Kasuga amefunguka kuhusu Klabu ya Yanga kuamua mashabiki zake waingie bure kwenye mchezo wao...
FEI TOTO ATOA NENO HILI BAADA YA SEKHAN KUTUA JANGWANI
Kiungo wa zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC kwa sasa, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekiri kiungo mpya aliyetua kwenye timu hiyo, Shekhan Ibrahim Khamis...
CHAMA KWISHA MANENO HANA JAMBO SIMBA DAKIKA ZAKE NI HIZI TU
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' amesema kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama...
YANGA KUMLETA CHID BENZ VS MADEAMA
Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya...
KISA AZIZI KI ALLY KAMWE AWAJIA JUU WACHAMBUZI
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amehoji kuhusu wachambuzi kutozungunzia uwezo wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki ambaye mpaka sasa...