Tag: soka la bongo
SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI...
Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye...
KUISHUHUDIA YANGA vs MADEAMA KIINGILIO NI MIGUU YAKO GSM AFANYA KWELI
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudiano dhidi ya...
GAMONDI ATOA NENO HILI BAADA YA YANGA KUIKANDA MTIBWA SUGAR
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kikosi chake kilipaswa kushinda bao nyingi dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao wa Ligi wa...
WACHEZAJI WA SIMBA WAMEZEEKA ,MCHAMBUZI ATIA NENO
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' amesema kuwa, tofauti na vikosi vya Simba na...
SAMATA AKAMATIKI TENA REKODI ZAKE NI ZAIDI YA HISTORIA
Mbwana Samata ameendelea kuandika Historia mpya katika Ulimwengu wa Soka baada ya Klabu yake ya POK anayo ichezea Kwa sasa kutinga Robo fainali katika...
RASMI KIRAKA WA SOKA NI MWANANCHI
Klaby ya Yanga imekamilisha usajili na kumtambulisha rasmi kiungo wa boli, Shekhan Ibrahim Hamis kutoka JKU ya Zanzibar.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18,...
GSM AFANYA JAMBO HILI YANGA vs MADEAMA SASA NI KWENDA TU...
Yanga inashuka jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, lakini wakimaliza watarudi kibaruani katika...
KIRAKA MPYA WA YANGA APEWA MITIHANI MITATU CHAP
Yanga tayari ina uhakika wa kupata huduma ya kiraka kutoka Zanzibar, Shekhan Ibrahim Khamis, lakini fundi huyo mpya ana mitihani mitatu ndani ya kikosi...
UNAAMBIWA TAMU NA CHUNGU YA USAJILI SIMBA KAACHIWA BENCHIKHA
Rasmi Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika...
HERSI ALAMBA SHAVU HILI CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limemteua Mwenyekiti wa Shirikisho cha Klabu Afrika (ACA) na Rais wa Yanga, Hersi Saidi kuwa mjumbe wa...