Tag: soka la bongo
MAXI,SKUDU WABEBESHWA MZIGO YANGA,…. LUIS AMPA MZUKA ROBERTINHO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KIBADENI ASEMA HAYA KWA ANAYETAKA KUPIGA HAT TRICK SIMBA, YANGA
Abdallah Athumani Seif 'King Abdallah Kibadeni Mputa' nyota wa zamani wa Simba ndiye mchezaji pekee aliyefunga 'hat trick' katika Kariakoo Derby, akifanya hivyo katika...
KATIKA HEKAHEKA ZA KUIMARISHA VIKOSI, MUSONDA AFUNGUKA MAZITO YANGA
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wala hauna presha licha kuondoka Mshambu ya wao tegemeo, Fiston Kalala Mayele, kwani umeweka wazi...
KISA ONANA CHAMA AITABIRIA MAKUBWA SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC, Clatous Chama aibuka na kutamka kuwa ujio wa kiungo Willy Onana utaifanya timu hiyo,...
SIRI IMEFUJA SABABU ZA SIMBA KUMTEMA KIPA WAO MBAZILI…. TATIZO LIMEANZIA...
SIMBA imefanya maamuzi magumu ya kumpiga chini kipa Mbrazili Jefferson Luis aliyesajiliwa hivi karibuni kwa madai ya kuwa majeruhi. Japo klabu haijatoa taarifa lakini...
ROBERTINHO AFUNGUKA HALI YA WACHEZAJI WA SIMBA HUKO UTURUKI SIO POA…….ISHU...
ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba, amesema mastaa wake wote walio kambini Uturuki, wamezidi kuimarika kutokana na maandalizi wanayoendelea kuyafanya.
Mbrazili huyo ameanza kuwanoa...
USHINDANI WA MASTAA HAPO SIMBA SIO POA, MATOLA AMUIBIA SIRI MIQUISSONE
SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo...
BAADA YA KUTOKA YANGA, HUYO MEYELE KAMA MFALME MCHEKI HAPA
Mshambuliaji Fiston ametangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Pyramid FC inayoshiriki Ligi Kuu Misri kutoka klabu ya Yanga ya Tanzania.
Mayele anaondoka Young Africans...
GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU KWENYE KIKOSI CHA YANGA, MAYELE ATAJWA
KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku taarifa zikibainisha kwamba, Muargentina...
SIMBA SC WAPEWA JEURI NA MWAMBA HUYU, AHMED ALLY ATAMBA
WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya, Fabrice Ngoma ambaye unaambiwa...