Tag: soka la bongo
KIVUMBI LEO BENCHIKHA AINGIA KATIKA MTIHANI MWINGINE
Simba inarudi tena uwanjani jioni ya leo Ijumaa dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kutoonja...
CHEZA KASINO MERIDIAN BET UPATE MGAO WA TSH BIL 2
Kama wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basi msimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, ni lazima ufunge mwaka kwa mizawadi kibao na...
KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
Leo Jumatano katika ligi ya mabingwa barani ulaya ni kivumbi kwani itapigwa michezo kadhaa ya kibabe ya hatua ya makundi ambayo itakua ndio michezo...
GAMONDI AJA NA MBINU HIZI KUELEKEA ROBO FAINALI
Wakati Kocha Mkuu wa Yanga, akianika mikakati yake kuelekea mechi mbili za nyumbani za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama FC na CR...
HUYU HAPA MSAIDIZI WA AUCHO YANGA
Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo na kiungo mkabaji Bonaventure Fonseca anayekipiga Teungueth Fc ya Senegal.
Mazungumzo ya awali yamefanyika na mchezaji amevutiwa na uhamisho huo....
UNAAMBIWA MASTAA HAWA WATATU TU NDIO WAMEMKOSHA BENCHIKHA
Viungo watatu wa Simba, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma na Mzamiru Yassin wamemwagiwa sifa na kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha.
Kama ambavyo kocha aliyepita...
SIMBA KUWATUMIA KAGERA SUGAR KAMA DARAJA LIGI KUU, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Ahmed Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, amesema wanahitaji 'ufufuo' kupitia Kagera Sugar Ijumaa hii katika mechi ya Ligi...
KATWILA AFUNGUKA KUHUSU MCHEZO WA YANGA
Baada ya kuipa Ihefu FC pointi tatu dhidi ya Yanga, kabla hajatupiwa virago kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema hana presha na...
YANGA SASA FRESH
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa mchezaji Gael Bigirimana.
Bigiramana alikuwa mchezaji wa...
UONGOZI SIMBA WAFURAHISHWA NA MABADILIKO HAYA YALIYOFANYWA NA BENCHIKHA
AHMED Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amefurahishwa na mabadiliko ya muda mfupi ya kikosi chao ikiwa ni siku chache...