Tag: soka la bongo
MNA BEKI! PACOME ATUA KWA KISHINDO, GAMONDI APANGUA KIKOSI YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KOCHA WA YANGA GAMONDI ANENA NA MASHABIKI, ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema hana shinikizo lolote kuelekea msimu ujao na anaimani yakufanya vizuri akiwa na mabingwa hao wa...
YANGA WATAMBA KUSHUSHA NYOTA MWINGINE HATARI TUPU
RAIS wa Klabu ya Yanga Hersi Said amesema timu hiyo inatarajia kumtangaza mchezaji mwingine mpya kwenye kikosi hicho ili kuongeza nguvu kuelekea msimu ujao.
Mhandisi...
HUKO SIMBA MAMBO YANAZIDI KUNOGA, NAFASI YA MANULA YACHUKULIWA NA MCAMEROON,...
KAMA mambo yakienda yalivyopangwa kipa Mcameroon, Simon Omossola (25) anaweza kusaini Simba muda wowote kuanzia sasa. Lakini kikosi kikiendelea kujifua Uturuki leo kinatarajia kuwapokea...
SIMBA WADHAMIRIA KUFANYA KWELI TUKIO LA KUZINDUA JEZI MLIMA KILIMANJARO, HAWA...
MSAFARA wa watakaohusika kwenye uzinduzi wa jezi mpya za klabu ya Simba kwa msimu wa 2023/2024 umeondoka Dar es Salaam kwenda mkoani Kilimanjaro kwa...
ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA, NABI ATUA FAR RABAT YA MOROCCO
Aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR Rabat.
Nabi amesaini mkataba huo jana...
ISHU YA KOCHA WA SIMBA KUONDOKA KAMBINI IKO HIVI…. ROBERTINHO AFUNGUKA...
Baada ya kuripoti juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho', kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli...
SIMBA, YANGA KABLA YA LIGI KUANZA KIMESHAUMANA MAPEMAAA
LIGI imeanza mapema. Ndio, huko mtaani na kwenye mitandao ya kijamii ile ligi ya mashabiki na wapenzi wa klabu za Simba na Yanga imeanza....
HIYO YANGA U17 SIO POA SIMBA KIMYAA
Mabao mawili ya Mosses Samweli na Mohamed Salum dhidi ya JKU Academy juzi katika Uwanja wa Azam Complex, yamezidi kuifanya timu ya vijana ya...
KOCHA WA YANGA AIPONGEZA SIMBA KWA USAJILI HUU
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita, Roul Shungu, amefunguka kuwa, kitendo cha Simba kufanikiwa kumpata aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan,...