Tag: soka la bongo
MWANUKE BYE BYE SIMBA
Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo Kiungo Mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke...
HIVI HILI LA CHE MALONE LIMEKAAJE KITAALAMU
Beki wa Simba Che Malome, siku ya Jumapili tarehe 05.11.2023 wakati wanakandwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwaa watani zao Yanga, alionyeshwa kadi mbili...
UNAAMBIWA HUKO JANGWANI NI MWENDO WA SUPU TU ……. HERSI ATOA...
Mashabiki na wanachama wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kunywa supu leo Jumapili Novemba 12 2023 katika ofisi za makao makuu ya klabu...
KIPIGO CHA 1-5 CHAMPONZA AMINA APOKEA KIFINYO
Amina Ndunguru (39) Mkazi wa Makoka, amenusurika kifo baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani hususani sehemu ya jicho la kushoto, kutokana kipigo kinachodaiwa kufanywa na...
YANGA WAMCHUNGE SANA HUYU MWAMBA LIGI YA MABINGWA
Mtangane kati ya CR Belouizdad wapinzani wa Yanga kwenye CAFCL kwa dakika 90 dhidi ya USM Alger umemaliziks na CR wamefungwa bao 2-1 wakiwa...
MCHEZAJI AFARIKI UWANJANI
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani leo wakati wa mechi kati ya timu...
KUMEKUCHA! SIMBA YATUA KWA NABI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AMUA KUFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA
KOCHA Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameanza kuwafatilia CR Belouizdad ya Algeria kuona ubora wa wachezaji wake kwa ajili ya kukabiliana katika mchezo...
KAA KIJANJA WIKIENDI HII UPIGE MAPENE NA MERIDIANBET
Kukaa kijanja ndio jambo ambalo unatakiwa kulifanya wikiendi hii ili uweze kupiga mkwanja wako wa kutosha, Kwnai wikiendi hii itapigwa michezo mingi katika madimba...
GAMONDI AWAGEUKIA HAWA JAMAA KAMA UTANI
Saa chache ikitoka kupata ushindi wa nane wa Ligi Kuu Bara msimu huu ugenini dhidi ya Coastal Union, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amewaita...