Tag: soka la bongo
MVURUGANO ULIANZIA HAPA KIBU ATAJWA
Mchambuzi wa soka nchini Yahaya Mohamed 'Mkazuzu', amesema Simba ilianza kuharibika baada ya Kibu Denis kuumia.
Mkazuzu ametoa mtazamo wake huo alipokuwa akiuchambua mchezo wa...
SIMBA WAFUNGUKA HAYA BAADA YA KIPIGO 5G
Ngoma imekamilika kwa Simba kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yanga.
Mabao ya Aziz KI, Max Nzengeli ambaye...
KIEMBA AFUNGUKA KILICHOWAPONZA SIMBA
Mchambuzi wa soka Amri Kiemba, amesema kilichosababisha Simba washushiwe kipigo na Yanga ni baada ya Wekundu hao kuacha kuwaheshimu wapinzani wao.
"Pamoja na Yanga kuwa...
KIKOSI CHA YANGA KUTOKA KWA SIMBA MPAKA KWA WAGOSI
Kikosi cha timu ya Yanga, leo kimeelekea jijini Tanga kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaochezwa...
JAPO USHINDI NI MNONO ILA UKWELI WA LIGI KUU UPO HIVI
LICHA ya kushinda bao 5-1, dhidi ya Simba, Kocha Mkuu amesema ushindi huo hauwezi kuamua kitu katika mbio za kuwania ubingwa na kutaka kushinda...
ROBERTINHO AUKUBALI MZIKI WA YANGA…… ASEMA HAYA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amewapongeza wapinzani wao wa jadi Yanga SC kwa kushinda dabi waliyoipiga jana Novemba 5, 2023 na...
FEI TOTO HUKU AZAM NI MPYA KABISA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ namba zinambeba. Gazeti hili limefanya uchambuzi licha ya kiungo huyo kucheza dakika chache tangu amejiunga na...
NAMUNGO WATUMA SALAMU HIZI KWA SIMBA BAADA YA ADHABU YA YANGA
Nahodha wa Timu ya Namungo, Jacob Massawe amesema licha ya Simba kuwa bora lakini wasitarajie mchezo mwepesi kutoka kwao kutokana na namna walivyokuwa na...
TSHABALALA AFUNGUKA KILICHOWAPONZA SIMBA
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' ameeleza eneo ambalo Yanga waliwazidi ujanja ni kwenye viungo.
Tshabalala amesema, mwalimu aliwapa mpango wao mzuri na wao...
YANGA WAMKOSHA SAMIA AWAPA NENO LA FURAHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi...