Tag: soka la bongo
GAMONDI AWEKA MPANGO YAKE MEZANI DHIDI YA SINGIDA
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mchezo...
KUMBE SIMBA WALITAKA WENYEWE KUTOLEWA NA AL AHLY
Mchambuzi wa Wasafi Fm, George Job amesema anaamini kuwa Klabu ya Al Ahly walikuwa wapo vibaya kiasi ambacho Simba Sc wamepoteza nafasi ya kuwatoa...
YANGA: WALETENI AL AHLY TUWAONESHE
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AFUNGUKA HAYA KUHUSU MCHEZO WAO NA SINGIDA FG
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi, amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mchezo...
KILICHOWATOA MASTAA HAWA YANGA
Beki wa kulia wa Klabu ya Yanga, Kouassi Attohoula Yao raia wa Ivory Coast, amerejea mazoezini na yupo fiti kwa ajili ya mchezo ujao...
AZIZI KI ATOA AHADI YA KIBABE YANGA
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki, amesema licha ya kuwa kinara wa magoli katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu, lakini...
HII NDIO FURAHI DAY SASA SINGIDA FG vs YANGA
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa Uwanja...
ROBERTINHO AFURAHISHWA NA MASTAA HAWA MECHI YA JANA
Kocha wa Simba Oliveira Robertinho amefurahishwa na namna ambavyo wachezaji wake walipambana jana licha ya kuondolewa kwenye michuano.
Simba jana ilikuwa mgeni wa Al Ahly...
KANOUTE ATAMBA AFL AWEKA REKODI HII MPAKA SASA
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi...
GAMONDI AWEKA WAZI SIRI YA YANGA KUPATA MATOKEO MAZURI MARA KWA...
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameeleza kuwa timu yake inapata ushindi mkubwa na kwenye mechi ngumu kwa sababu wachezaji na timu yake wanacheza kibingwa.
Gamondi...