Tag: soka la bongo
AZIZ KI ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MASTER
Wakati Yanga wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya waoka Mikate wa Azam FC.
Kuna mtu mmoja kutoka Taifa la Burkinafaso aliliona hilo akaamua...
SIMBA WAIFANANISHA AL AHLY NA ZAMALEK
Uongozi wa Klabu ya Simba imesema kuwa unatambua mchezo wao wa nusu fainali ya African Football League dhidi ya Al Ahly ni mgumu ndani...
SIMBA KIVUMBI LEO UGENINI ISHU IKO HIVI
Majibu ya nani atakuwa mshindi atakayesonga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano mapya ya African Football League kati ya wawakilishi wa Tanzania, Simba dhidi...
NGOMA AIWEKA SIMBA MABEGANI KWA STAILI HII MISRI
Wengine wanapenda kumuita Midfielder Teacher, Ni kiungo asiye na mambo mengi uwanjani.
Always ni mtu wa kutimiza majukumu yake, Ni better kwenye tactical philosophy, tactical...
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AZAM LEO
Kikosi rasmi cha YANGA kitakachocheza dhidi Azam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Mkapa, muda mchache ujao.
UONGOZI WA YANGA WAFUNGUKA UGUMU WA MECHI YA LEO DHIDI YA...
Kuelekea Dabi ya Dar, leo Oktoba 23, 2023, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa wanatambua utakuwa ni mchezo mgumu kutokana na aina ya wachezaji...
HAKUNA UNYONGE AL AHLY ANAPIGIKA MBONA
Ubora wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha.
Haina maana kwamba wachezaji wa Simba...
GAMONDI ATAMBA HAO AZAM WAJE TU
Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya AzamFC.
Leo ni Mzizima Dabi...
ONANA ATOA YA MOYONI MARUDIANO DHIDI YA AL AHLY
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Willy Onana, ametoa kauli ya kishujaa kueleka mchezo wao marudiano dhidi ya Al Ahly hapo kesho Oktoba 24, 2023.
Onana...