Tag: soka la bongo
MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo...
MWAKINYO AFANYA HAYA KWENYE ADHABU YA MANARA TFF
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, @hassanmwakinyojr amemuombea msamaha Haji Manara kwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kumsamehe adhabu yake.
Manara amefungiwa miaka miwili kujihusisha...
UHALISIA WA MANARA NA SOKA LA TANZANIA
Simba na Yanga walikuwa na Hajis Manara lakini kwa sasa anatumikia adhabu ya kifungo alichopewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania "TFF".
Mtu akiniuliza...
SIMBA YATOA AHADI HII MECHI YA LEO AFL
Saa chache kabla ya kushuka dimbani, Simba SC imesema leo Ijumaa (Oktoba 20) itadhihirisha ukubwa wake kwa mashabiki wa soka Duniani kwa kuifunga Al...
MCHAMBUZI AMPA USHAURI HUU ROBERTINHO LEO DHIDI YA AL AHLY
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Salama Ngale amesema kuwa safu ya kiungo ya Klabu ya Simba bado inapwaya hivyo kocha wao, Robertinho anapaswa...
AL AHLY ATAKUBALI KUENDELEZA UTEJA DHIDI YA SIMBA LEO AFL
Leo dunia ya soka itahamia Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni katika uzinduzi wa michuano mipya ya African Football League ambapo pamoja na...
BOCCO ATAMBA NYUMBANI MATOKEO MAZURI UHAKIKA
Ni mchezo mkubwa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, utakuwa mchezo mzuri sana. Ni nafasi nzuri kwa klabu yetu na sisi wachezaji kuonesha kiwango...
HUYU BWANA KAMA ANATAKA KUFANIKIWA BASI AONDOKE YANGA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Wasafi Media, Nasir Khalfan amesema kuwa kipa namba tatu wa Yanga, Aboutwalib Mshery anapaswa aondoke kwenye klabu...
KIEMBA AFAFNUKIA KISA CHA AL AHLY KUJA NA MAPIPA
Wakati Mashabiki wa soka nchini wakishangazwa na ujio wa Al Ahly ambao wanjiandaa kuikabili Simba siku ya Ijumaa Oktoba 20.
Mchambuzi wa Soka kutoka Clouds...
HAPO SIMBA NI FULL MZIKI, BOCCO AFUNGUKA
Nahodha wa Simba ya Dar es Salaam, John Bocco amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kukabiliana na Al Ahly ya Misri mchezo wa ufunguzi michuano...