Tag: soka la bongo
FEI TOTO AWAPA NENO YANGA WATAJUA HAWAJUI
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah “Fei Toto’, ametuma ujumbe mzito kwa waajiri wake wa zamani Young Africans kuelekea mchezo wao wa Oktoba...
UBABE WA YANGA WAIHAMISHA GEITA GOLD
Matokeo mabaya inayopata timu ya Geita Gold, yanadaiwa kuihamisha kutoka katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa mechi zitakazohusisha timu za Simba SC na...
KAMA UTANI KIPA MRUNDI AIBUKIA KAMBINI KWA YANGA
Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Avic Town, Kigamboni, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ya Ligi Kuu...
AZAM VS YANGA NI MECHI YA KISASI
Wachezaji wa wa Azam FC hawataki kupoteza kwa mara ya pili dhidi ya Young Africans watakapokutana katika mchezo unaofuatia wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
AZAM , YANGA ZATEGEANA ISHU IKO HIVI
Benchi la Ufundi la Young Africans, limeanza kukiandaa kikosi chao kuhakikisha kinakuwa bora kabla va kukutana na Azam FC, katika mchezo wa Mzunguuko wa...
BAADA YA KONKAN KUPEWA MECHI 4 YANGA, GAMONDI NAE AWEKA WAZI...
Kikosi cha Yanga kinajifua kwa mazoezi makali ajili ya pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC litakalopigwa Oktoba 25, huku kocha wa...
ROBERTINHO AMKINGIA KIFUA NGOMA
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameweka heshima kwenye soka la Tanzani hadi sasa akiiongoza timu hiyo kwenye mechi 16 za Ligi Kuu Bara...
SIMBA YAANGUKIA KWENYE MTEGO HUU WA FIFA
Wakati Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta...
MAXI NZEGELI AFANYA MAAJABU HAYA KIKOSINI SKUDU HAAMINI MACHO YAKE
Kiungo wa Yanga, Maxi Nzengeli amefanya mapinduzi ndani ya kikosi baada ya kumpindua kama utani Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ ambaye usajili na hata utambulisho wake...
GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KIPINDI CHA MAPUMZIKO
Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.
“Ni muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda...