Tag: soka la bongo
YANGA YAWEKA WAZI NGUZO TANO, NBCPL, CAFCL
Nyota wa Yanga, Maxi Nzengeli ametaja nguzo tano zinazowapa wachezaji nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi za kitaifa na kimataifa wawapo uwanjani.
Chini ya Kocha...
ROBERTINHO AONA ISIWE TABU AONGEZA BEKI MWINGINE
Kocha mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya timu yake kuwa na uwezo wa kufunga kila mechi, bado kuna tatizo la...
AHMED ALLY ATAMBA KUHUSU UBINGWA, KUHUSU SOKA BIRIANI AWAPA NENO HILI...
Ahmed Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawataruhusu...
MSHAMBULIAJI WA YANGA ATUA AL NASSAR YA RONALDO
Mchezaji wa zamani wa Yanga Princess na timu ya taifa, Clara Luvanga ameingia mkataba wa miaka mitatu na timu ya soka ya wanawake ya...
MBABE WA YANGA CAFCC AJIUZULU
Ikiwa imepita miezi kadhaa Wana-Yanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak...
PACOME,MUDA WAWEKA REKODI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUHUSU MCHEZAJI BORA WA MWEZI YANGA MCHAKATO UKO HIVI
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Shirika la Bima la Taifa ‘National Insurance Cooperation’ kuwa mdhamini wa Mchezaji Bora wa Mwezi (NIC Player...
KABLA YA KIMATAIFA GAMONDI AWATAKA AZAM KWANZA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema hataki kuongea lolote kuhusu mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa BArani Afrika,...
ROBERTINHO ATAMBA AWAPA NENO HILI MASHABIKI
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema kuwa timu yake ina kikosi kipana hivyo imemsaidia yeye kufanya mabadiliko na kupata ushindi pale anapotaka.
Robertinho...
SIMBA, YANGA MSIBWETEKE KIMATAIFA
Baada ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani.
Katika Ligi ya...