Tag: soka la bongo
YANGA WASANUKIA MTEGO HUU WA AL MAREIKH
Ofisa Habari wa Yanga, Alikamwe amedai kuwa wapinzani wao Al Merrikh wameanza kuwasifu kuwa Wananchi wanaogopeka Afrika wao wamesoma Cuba wanajua huo ni Mtego
"Tumesikia...
GAMONDI APEWA WAKATI MGUMU NA MWAMNYETO
Kikosi cha Yanga, kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh...
YANGA WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KWENYE MARUDIANO NA AL MAREKH
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa marejeano dhidi ya Al Merekh ya Sudan siku ya Jumamosi Septemba 30, 2023,...
MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS
Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameendelea kuwa na mwanzo mbaya Pyramids baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila kufunga wala kupiga...
HALI YA KRAMO IKO HIVI SIO WIKI MBILI TENA
TAARIFA njema kwa mashabiki wa Simba kuwa winga wao Muivory Coast, Aubin Kramo amepata nafuu ya majeraha yake na atarejea uwanjani baada ya wiki...
HIZI SALAMU ZA SIMBA KWA WAZIMBIA SASA NI KUTISHANA HUKU
Leo Septemba 26 Timu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan African na kuibuka na ushindi wa magoli 4-0.
Simba wako katika maandalizi...
TRY AGAIN AWEKA WAZI KATI YA KUCHEZA VIZURI AU USHINDI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Salim Abdallah "Try Again" amesema kwasasa wanachotaka ni kuona timu inapata ushindi na sio kucheza...
GENK BADO WANAKUMBUKA MAAJABU HAYA YA SAMATA
Nahodha wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta ameendelea kuenziwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kwa jezi yake maalum kuuzwa...
MASTAA HAWA WA SOKA BONGO KAMA ULAYA
Mara nyingi wakati wa mapumziko tumezoea kuona wachezaji wanao cheza soka la kulipwa ulaya wakati wa mapumziko wakioneka katika viwanja vikubwa kufatilia mchezo wa...
BODI YA LIGI YAFUNGUKA ISHU NYA LIGI KUU KUSIMAMA ISHU IKO...
Bodi ya Ligi ya Tanzania (TPLB), imesema kuwa sababu ya kusimama kwa Ligi Kuu ya Tanzania ni kutokana na kalenda ya Shirikisho la Soka...