Tag: soka la bongo
TSHABALALA,KAPOMBE HALITETE WASAIDIWE
Kocha wa Zamani wa Simba SC Jamhuri Kiwelu Julio amefunguka kuhusu swala la mabeki waaandamizi Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuwa wamechoka yeye anaamini...
YANGA YAPATA MAJANGA, LOMALISA OUT
Daktari wa Klabu ya Yanga, Moses Etutu, amebainisha kwamba, beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa Mutambala atakuwa nje ya uwanja kwa takribani...
AŹAM ,SIMBA KINAUMANA LEO
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Alhamisi, Septemba 21, 2023 kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam.
‘Wekundu wa Msimbazi’, Simba itakuwa mwenyeji wa ‘Wanamangushi’,...
YANGA KWAMBINDE SANA DHIDI YA NAMUNGO, MUDATHIR AFANYA MIUJIZA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Katika Uwanja wa Azam Complex...
KILICHOWAPONZA SIMBA KUGOMEWA CHAMANZI HIKI HAPA
Ombi la Simba kutumia Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, utakaopigwa kesho limegonga mwamba kwa...
ISHU YA SIMBA KUACHANA NA ROBERTINHO, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA NAMUNGO FC HIKI HAPA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC.
Yanga wanaingia katika...
DUCHU, SASA NI ZAMU YAKE NA ISRAEL HUYU ZIMBWE, KAPOMBE WAPUMZISHWE...
Kocha Jamhuri Kihwelu Julio amesema kuwa, mabeki wa pembeni wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' na Shomari Kapombe wamechoka kwa kutumika muda mrefu,...
GAMONDI HUYU ANATAKA KUFUATA NYAYO ZA MANARA!?
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Nsajigwa Senior amesema kuwa kauli anazozitoa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi zitakuja kumpa...
KUHUSU KIMATAIFA SIMBA ,YANGA NJIA HII HAPA
Simba SC na Young Africans siyo ishu tena kushinda ugenini katika michuano ya Kimataifa inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, isipokuwa zimeshauriwa...