Tag: soka la bongo
HAWA HAPA MASTAA WALIOITWA TIMU ZA TAIFA, SIMBA, YANGA
Ligi Kuu ya NBC kwa sasa imesimama kupisha ratiba ya michuano ya CAF kwa timu za taifa kufuzu fainali za AFCON 2023.
Hawa ni wachezaji...
VIONGOZI WA SIMBA WAJITANGAZIA MAKOMBE, ISHU IKO HIVI YANGA WATAJWA
Kufuatia tambo za vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans kwa kuanza kwa kasi msimu huu 2023/24 katika vita ya kutetea...
MAXI NZEGELI ANABALAA WEWE, KIUNGO HUYU AFUNGUKA YALIYOWAKUTA JKT
Kiungo wa JKT Tanzania, Hassan Nassor Maulid ‘Machezo’ aliyesimama kati na kuchuana na Mudathir Yahya na Stephane Aziz Ki wa Young Africans katika mechi...
DIOUMBIA AIKALIA YANGA KOONI, WIKI MOJA BAADA YA KUREJEA NCHINI
Kwa mujibu wa Goal Africa, aliyekuwa beki wa Yanga, Mamadou Doumbia ametoa muda wa wiki moja kwa uongozi wa Yanga kumlipa stahiki zake.
Doumbia aliyerejea...
NGOMA AWAPATA JEURI VIONGOZI WA SIMBA, SIRI YAFICHUKA…YANGA WAPIGWA ZA USO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, amefichua kuwa wana uwezo mkubwa wa kuweza kusajili mchezaji yeyote wanayemtaka ndani ya timu...
DROO YA SUPER LEAGUE IKIPANGWA…. SIMBA WATOA MKWARA MZITO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA SASA KIBOSI MANULA HUYU HAPA
Golikipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manura amerejea uwanja wa mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi...
KIUNGO WA SIMBA AFUNGUKA MAKALI YA YANGA YA GAMONDI
KIUNGO wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Simba SC, Amri Kiemba, amesifu aina ya soka wanalocheza mabingwa watetezi wa...
ISHU YA MAJERAHA YA INONGA IKO HIVI
HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89.
Nyota huyo...
GAMONDI ATUMIA MBINU ZA KIBABE DHIDI YA AL MARREIKH
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi, ameweka mitego yake kuelekea mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya...