Tag: soka
ISHU YA MAJERAHA YA INONGA IKO HIVI
HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89.
Nyota huyo...
GAMONDI ATUMIA MBINU ZA KIBABE DHIDI YA AL MARREIKH
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi, ameweka mitego yake kuelekea mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya...
SKUDU APATA PIGO YANGA, GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wake Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’ hayupo...
MBRAZILI AKOMAA NA WINGA ASEC…YANGA YEYOTE ANAKUTUNGUA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI APATA WASIWASI, PACOME, MAXI WAZUO HOFU, ISHU IKO HIVI
MIGUEL Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga, ameibuka na kusema kuwa, mapumziko ya muda mrefu huenda yakamfanya kuanza upya kukisuka na kuwaongezea fitinesi...
KWA MAANDALIZI HAYA YA SIMBA, POWER DYNAMO HAWANA BAHATI
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, muda uliopo kwa sasa ni benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kusuka silaha za maangamizi...
MSUVA ATOA KAULI NZITO, SIMBA, YANGA ZATAJWA
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva amepanga kufunga zaidi ya mabao 10 kwenye msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu Algeria ‘Ligue Professionnelle...
GAMONDI AVUNJA UKIMYA, AFUNGUKA HAYA KUHUSU KONKAN
Kocha MKuu wa Yanga raia wa Argentina Miguel Gamondi amesema kuwa hana haraka na straika wake Mghana Hafiz Konkoni kwani anaamini kuwa atampa anachotaka.
Gamondi...
KWA HILI YANGA HII IMESHAKUWA BALAA
Yanga juzi walicheza mchezo wao wa pili Ligi Kuu Bara wakifanikiwa kichapa JKT Tanzania mabao 5-0.
Kwa idadi hiyo kubwa ya magoli 5 unaweza kufikiri...
NABI AITABIRIA MAKUBWA YANGA YA GAMONDI
Kocha wa zamani wa Yanga, Nassredine Nabi amesema kuwa ameiangalia Yanga ya sasa chini ya Miguel Gamondi na kusema kuwa inauwezo mzuri wa kutwaa...