Tag: soka
JEMEDARI AWASAGIA KUNGUNI YANGA KISA FEI TOTO
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Jemedari Said Bin Kazumari ameonyesha kuwashangaa mashabiki wa Klabu ya Yanga kufuatia vitendo vyao vya kumzodoa aliyekuwa mchezaji...
HUYU AZIZI KI MNAEMUONA NI ASILIMIA 40 TU
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, George Ambangile amesema kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anachokionesha kwa sasa ni asilimia...
MOSES PHIRI AWATAMBIA YANGA, AWEKA WAZI MIPANGO YA SIMBA MSIMU HUU
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri, amesema kwa mziki wa kikosi chao msimu huu, wamepanga kushinda mataji yote, huku wakianza na Ngao ya Jamii.
Phiri ambaye...
YANGA KAMA UNANAWA TU MBELE YA AL MARREIKH
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga ASA FC ya Djibouti kwa jumla...
ROBERTINHO ATANGAZA VITA KABLA YA MAMBO KUANZA, HAO POWER DYNAMO WAJIPANGE
Wakati ikijiandaa kuikabili Power Dynamos ya Zambia, katika mechi ya awali ya hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Barani Áfrika, Kocha Roberto Oliveira...
GAMONDI AFUNGUKA HAYA KUHUSU UWEZO WA PACOME, MAXI ZOUZOUA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa licha ya viwango vya mastaa wake ikiwa ni Maxi Mpia, Pacome Zouzoua bado anaamini...
HUKO CAF NI YANGA NABI SAHANI MOJA LIGI YA MABINGWA
Wakati Yanga ikifuzu kwa jeuri hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitupa nje ASAS ya Djibouti kocha wao wa zamani Nasreddine Nabi...
ROBERTINHO ANACHOKIFANYA KWA MIQUISSONE NA CHAMA NI HATARI KWA WAPINZANI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira, ndani yake inasukwa pacha ya viungo wa kazi, Luis Miquissone na Clatous Chama kwa ajili...
ROBERTINHO APIGA HESABU SIKU HIZI HAPA 16
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefichua kwamba, amepanga kuzitumia siku 16 za mapumziko ya Ligi Kuu Bara kukijenga upya kikosi chake ili...
JKT SIO KINYONGE MBELE YA YANGA JAPO USHINDANI NI MKALI
Kikosi cha JKT Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa, huku kocha mkuu wa timu hiyo,...