Tag: soka
INONGA ALISTAHILI JAMBO HILI
Henock Inonga Baka anaweza kuwa mchezaji ambae alihitaji zaidi mafanikio ya pamoja pale Simba hasa kwa namna ambavyo amekuwa akisifika kwenye nafasi yake dhidi...
HII SIMBA INABALAA ZITO LIGI KUU MSIMU HUU
Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku...
KIUNGO WA YANGA ATIMKIA GOR MAHIA
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya.
Kiungo mshambuliaji wa zamani...
ROBERTINHO AFUNGUKA ULIPO UDHAIFU WA SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amekiri kikosi kina changamoto eneo la ulinzi na kipindi hiki cha mapumziko ameanza kuifanyia kazi ili timu...
GAMONDI ACHUKIZWA NA JAMBO HILI LA MAUYA KWENYE MCHEZO WA JANA
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha mchezaji wake Zawadi Mauya kusababisha penati iliyozaa bao...
WAPINZANI WAIPIGIA SALUTI YANGA…WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza...
KWA HILI GAMONDI KAZI ANAYO HUKO YANGA
Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu...
PACOME, AZIZI KI, WAFANYA BALAA KUBWA YANGA
Mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea baada ya kushuhudia timu hiyo ikianza Ligi Kuu kwa kishindo ikiifumua KMC mabao 5-0, lakini sifa zikienda eneo la...
MUDATHIR AFUNGUKA ISHU YA SIMU YA MKEWE UWANJANI
Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefunguka staili yake ya kushangilia aloitumia baada ya kufunga bao katika mechi ya ufunguzi kwenye Ligi Kuu dhidi ya...
GAMONDI AMKINGIA KIFUA HAFIZ KONKANI, ISHU IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa anafurahi kuona mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni anaanza kufunga mabao ndani ya timu hiyo huku...