Tag: soka
YANGA WAJA NA JIPYA KUHUSU MSIMU WA 2022/23 ISHU IKO HIVI
KLABU ya Yanga Agosti 7 anatarajiwa kuzindua Documentary ya msimu wa kihistoria 2022/23, Dar es Salaam.
Afisa Habari Yanga Ally Kamwe amesema hayo Dar es...
HUKO SIMBA MAMBO NI MOTO, KIPA MPYA HUYU HAPA KUTUA KABLA...
Klabu ya Simba imesema kuwa itamtangaza kipa mpya kabla ya kufikia siku ya Tamasha la Simba Day litakalofanyika Jumapili ijayo Agosti 6, 2023 katika...
GAMONDI AKOMAA NA MRITHI WA MAYELE, HAPO KAMBINI HAPAKALIKI
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga anaendelea kumsuka upya mrithi wa mikoba ya, Fiston Mayele ambaye ni Kennedy Musonda.
Mayele hatakuwa ndani ya kikosi cha...
SIMBA WATAMBA KUTANGAZA UBINGWA KABLA YA MECHI TANO, VIGOGO WATEMA CHECHE
SALIM Abdallah ‘Try Again’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba amewaambia mashabiki wa Simba kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia...
AZIZI KI NDO BASI TENA YANGA, MWAMBA HUYU HAPA KACHUKUA NAMBA...
RASMI Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina, Miguel Gamondi atamtumia Mkongomani Maxi Mpia Zengeli kucheza namba 10 na siyo winga tena katika kuelekea msimu ujao.
Mkongomani...
SIMBA WANATAKA HESHIMA MSIMU 2023/24 TRY AGAIN AFUNGUKA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaambia Mashabiki na Wanachama kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia ‘Simba...
ROBERTINHO ATAJA SABABU 10 SIMBA BINGWA, GAMONDI AMFICHA MAXI DAR, SAMBA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
VIDEO, MANULA AANZA MAZOEZI MEPESI GYM, TAZAMA VIDEO HAPA
Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula, ameendelea na mazoezi ya gym baada ya kuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi minne sasa.
Kupitia ukurasa...
SIMBA WATUA DAR KIBABE , CHEKI BAKAA LAO WAKITIKEA UTURUKI
Kikosi cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili...
KWA YANGA HII WAPINZANI TUMBO JOTO, ALLY KAMWE ATAMBA
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kile walichokifanya katika mchezo dhidi ya Magereza ni kionjo tu na inamaanisha Yanga ya Gamondi...